from Follow the Lamb and Sing New Songs

published on

Wimbo wa Maneno ya Mungu Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki

Wimbo wa Maneno ya Mungu Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki I Mungu aliipa Israeli utukufu Wake kisha Akauhamisha mbali na pale, na kuwaleta Waisraeli na kuwaleta watu wote Mashariki. Mungu amewaelekeza wote kwenye mwanga ili waweze kuungana tena na kuwa pamoja na mwanga, wasilazimike kuutafuta tena, kuutafuta mwanga. Mungu atawaacha wote wanaotafuta kuuona mwanga tena na utukufu Aliokuwa nao katika Israeli, kuona kwamba Mungu tayari ameshuka chini juu ya wingu jeupe miongoni mwa watu, na kuona mawingu mengi meupe, na kuona vishada vya matunda, kumwona Yehova Mungu wa Israeli, Mungu wa Israeli, kumwona Mkuu wa Wayahudi, kumwona Masihi Aliyengojewa, na kuonekana kamili kwa Yeye aliyeteswa na wafalme katika enzi zote. II Mungu atafanya kazi ya ulimwengu mzima na kufanya kazi kubwa, akifichua utukufu Wake wote na matendo Yake yote kwa mwanadamu katika siku za mwisho. Mungu ataonyesha uso Wake uliojaa utukufu kwa wale ambao wamemngoja Yeye kwa miaka mingi, kwa wale ambao wametamani kumuona Yeye akija juu ya wingu jeupe, kwa Israeli ambayo imemngoja Aonekane kwa mara nyingine tena, kwa watu wote wanaomtesa Mungu. Ili wote wajue kwamba Mungu kwa muda mrefu uliopita Ameuchukua utukufu Wake na kuuleta katika Mashariki. Hauko katika Uyahudi, kwa maana siku za mwisho tayari zimewadia! kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili

Wimbo wa Maneno ya Mungu Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki

  • Inapakia...
ShirikiFacebook
ShirikiTwitter
ShirikiGoogle+
ShirikiPinterest
ShirikiReddit