Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Nyimbo za Maneno ya Mungu

Nyimbo za Maneno ya Mungu

Aina za Nyimbo

Nyimbo za Uzoefu wa Maisha, wimbo wa ibada, Nyimbo
Sifa za Ufalme
Mpya Zaidi
Mpya Zaidi

Albamu nyingine

Matukio ya Maisha
Matukio ya Maisha
Ushuhuda wa Injili
Ushuhuda wa Injili
Kumtolea Mungu Ushuhuda
Kumtolea Mungu Ushuhuda
Kumjua Mungu
Kumjua Mungu
Kumsifu Mungu
Kumsifu Mungu

Aina

Adhimu na Zenye Taadhima
Adhimu na Zenye Taadhima
Zenye Kuonyesha Hisia Kali
Zenye Kuonyesha Hisia Kali
Zenye Kusisimka
Zenye Kusisimka
Zenye moyo mchangamfu
Zenye moyo mchangamfu
Zenye Kuwa na Shauku
Zenye Kuwa na Shauku
Zenye Kupumzisha
Zenye Kupumzisha

  I

  Maneno ya Mungu ni ukweli, usiobadilika milele. Mungu ndiye mpaji wa uzima, na kiongozi pekee wa mwanadamu. Thamani na maana ya maneno Yake yanaamuliwa na kiini chao, sio kama mwanadamu anayakubali au kuyatambua. Hata kama hakuna mwanadamu ulimwenguni anayapokea maneno Yake, thamani yao na usaidizi kwa mwanadamu hayapimiki. Maneno ya Mungu ni ukweli, usiobadilika milele. Mungu ndiye mpaji wa uzima, na kiongozi pekee wa mwanadamu.


  II

  Kwa wale wanaoasi, kupinga na kutoheshimu maneno Yake, Jibu pekee la Mungu kwao ni hili: Acha muda na ukweli uwe shahidi Wake, uonyeshe maneno Yake ni ukweli, njia na uzima; uonyeshe kuwa yote Aliyosema ni kweli, ni kile ambacho mwanadamu anafaa kuwa nacho na kufuata. Maneno ya Mungu ni ukweli, usiobadilika milele. Mungu ndiye mpaji wa uzima, na kiongozi pekee wa mwanadamu.


  III

  Kwa wale wote wanaomfuata Mungu atawaruhusu kuona ukweli huu: Wale ambao hawakubali maneno Yake au kuyatekeleza katika matendo yao, na wale ambao hawawezi kugundua kusudi ama wanaokosa kupata wokovu katika maneno Yake, Hawa wote ni wale watu ambao maneno ya Mungu yamewalaani. Wamepoteza wokovu wa Mungu. Kutoka kwao, adhabu Yake haitapotea mbali Maneno ya Mungu ni ukweli, usiobadilika milele. Mungu ndiye mpaji wa uzima, na kiongozi pekee wa mwanadamu. Maneno ya Mungu ni ukweli, usiobadilika milele. Mungu ndiye mpaji wa uzima, na kiongozi pekee wa mwanadamu.


  kutoka katika Neno Laonekana katika Mwili

0(Ma)tokeo ya Kutafuta