Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Ushuhuda kwa Kristo wa Siku za Mwisho

(Ukweli Ishirini wa Kuwa na Ushuhuda kwa Mungu)

Sehemu ya Pili

Ni Fikira Zipi za Kidini Lazima Zitatuliwe Katika Imani ya Mtu kwa Mungu ili Kuwa Sambamba na Kazi ya Mungu?

1Swali la 1: Tunaamini kwamba kurudi kwa Bwana kutamaanisha kwamba waumini wanainuliwa moja kwa moja hadi katika ufalme wa mbinguni, kwa maana imeandikwa katika Biblia: “Baada ya hayo sisi ambao tuko hai na kusalia tutachukuliwa pamoja na wao mawinguni, kwa ajili ya kukutana na Bwana katika hewa: na hivyo tutakuwa naye Bwana daima” (1 Wathesalonike 4:17). Unashuhudia kuwa Bwana Yesu amerejea, hivyo ni kwa nini sisi sasa tuko duniani na bado hatujanyakuliwa?
2Swali la 2: Unashuhudia kwamba Mungu amekuwa mwili na kuwa Mwana wa Adamu ili kufanya kazi ya hukumu katika siku za mwisho, na bado wengi wa wachungaji wa kidini na wazee wa kanisa wanakiri kwamba Bwana atarudi akija na mawingu, na wanategemeza hili hasa aya za Biblia: “Huyu Yesu … atakuja kwa namna hiyo hiyo ambayo mmemuona akienda mbinguni” (Matendo 1:11). “Tazama, anakuja na mawingu; nalo kila jicho litamwona yeye” (Ufunuo 1:7). Na zaidi ya hayo, wachungaji wa kidini na wazee wa kanisa pia hutufundisha kwamba Bwana Yesu yeyote asiyekuja na mawingu ni wa uongo na lazima aachwe. Kwa hiyo hatuna uhakika kama mtazamo huu unakubaliana na Biblia; ni sahihi kuchukua huu kama ukweli au la?
3Swali la 3: Unasema kwamba Bwana Yesu amerudi, kwa nini hatujamwona? Kuona ni kuamini. Kama hatujamwona, basi hilo lazima limaanishe kuwa Yeye hajarudi bado; nitaamini hilo nitakapomwona. Unasema kwamba Bwana Yesu amerudi, kwa hiyo Yuko wapi sasa? Anafanya kazi gani? Bwana Amesema maneno gani? Nitaliamini ukishuhudia kwa dhahiri mambo haya.
4Swali la 4: Wachungaji wa kidini na wazee wa kanisa mara nyingi huwahubiria waumini kwamba mahubiri yoyote yanayosema kwamba Bwana amekuja katika mwili ni uongo. Wao hutegemeza hili aya za Biblia: “Basi iwapo mtu yeyote atawaambia, Tazameni, Kristo yuko huku, au yuko pale; msiamini hili. Kwa kuwa wataibuka Makristo wasio wa kweli, na manabii wasio wa kweli, nao wataonyesha ishara kubwa na vioja; ili kwamba, ikiwezekana, watawadanganya walio wateule zaidi” (Mathayo 24:23-24). Sasa hatuna habari tunavyofaa kumtambua Kristo wa kweli kutoka kwa wale wa uongo, hivyo tafadhali jibu swali hili.
5Swali la 5: Bwana Yesu alikuwa Mungu mwenye mwili na hakuna yeyote anaweza kukanusha hili. Sasa unashuhudia kwamba Mwenyezi Mungu ni Bwana Yesu aliyerudi katika mwili, lakini wachungaji wa kidini na wazee wa kanisa wanasema kuwa kile unachoamini ni mtu tu, wanasema kuwa umedanganywa, na hatuwezi kulielewa jambo hili. Wakati huo Bwana Yesu alipokuwa mwili na kuja kufanya kazi ya ukombozi, Mafarisayo Wayahudi pia walisema kuwa Bwana Yesu alikuwa mtu tu, wakisema kwamba mtu yeyote aliyemwamini Yeye alikuwa akidanganywa. Kwa hiyo, tungependa kufuatilia kipengele hiki cha ukweli kuhusu kupata mwili. Kupata mwili ni nini hasa? Na ni nini asili ya kupata mwili? Tafadhali shiriki hili kwa ajili yetu.
6Swali la 6: Sote twajua kwamba Bwana Yesu alikuwa kupata mwili kwa Mungu. Baada ya kumaliza kazi Yake, Alisulubiwa na kisha Akafufuka, Akionekana mbele ya wanafunzi Wake wote na Akapaa mbinguni katika mwili Wake mtukufu wa kiroho. Kama Biblia inavyosema: “Ninyi wanadamu wa Galilaya, mbona mnasimama mkiangalia mbinguni? huyu Yesu, ambaye amechukuliwa kutoka kwa ninyi kwenda mbinguni, atakuja kwa namna hiyo hiyo ambayo mmemuona akienda mbinguni” (Matendo 1:11). Kwa hiyo, maandiko ya biblia yanathibitisha kwamba Bwana atakaporudi tena, utakuwa mwili wake wa kiroho uliofufuliwa unaoonekana kwetu. Katika siku za mwisho, mbona Mungu amepata mwili katika umbo la mwili la Mwana wa Adamu kufanya kazi ya hukumu? Kuna tofauti gani kati ya mwili wa kiroho uliofufuka wa Bwana Yesu na kupata mwili Kwake kama Mwana wa Adamu?
7Swali la 7: Jana usiku nilisoma maneno ya Mwenyezi Mungu, “Mwanadamu Aliyepotoka Anahitaji Zaidi Wokovu wa Mungu Mwenye Mwili.” Nadhani hiki ni kifungu cha ajabu cha neno la Mungu, halisi kabisa, na cha maana sana. Kuhusu ni kwa nini wanadamu wapotovu lazima wapokee wokovu wa kupata mwili kwa Mungu, hiki ni kipengele cha ukweli ambacho mwanadamu anatakiwa kufahamu kwa haraka. Tafadhali wasiliana nasi kuhusu jambo hili zaidi kiasi.
8Swali la 8: Mungu alimtumia Musa kufanya kazi ya Enzi ya Sheria, hivyo kwa nini Mungu hawatumii watu kufanya kazi Yake ya hukumu katika siku za mwisho, lakini badala yake Analazimika kupata mwili ili kuifanya Mwenyewe? Kuna tofauti gani muhimu kati ya Mungu mwenye mwili na watu ambao Mungu huwatumia?
9Swali la 9: Katika Enzi ya Neema, Mungu alipata mwili ili kutumika kama sadaka ya dhambi kwa wanadamu, akiwaokoa kutoka kwa dhambi. Katika siku za mwisho Mungu amepata mwili tena ili kuonyesha ukweli na kufanya kazi Yake ya hukumu ili kumtakasa na kumwokoa mwanadamu kabisa. Kwa nini Mungu anahitaji kuwa mwili mara mbili ili kufanya kazi ya kumwokoa wanadamu? Na kuna umuhimu gani wa Mungu kuwa mwili mara mbili?
10Swali la 10: Imeandikwa wazi katika Biblia kwamba Bwana Yesu ni Kristo, Mwana wa Mungu, na wale wote wanaomwamini Bwana pia wanaamini kwamba Bwana Yesu ni Kristo na kwamba Yeye ni Mwana wa Mungu. Na bado unashuhudia kuwa Kristo mwenye mwili ni onyesho la Mungu, kwamba Yeye ni Mungu Mwenyewe. Utatuambia tafadhali kama Kristo mwenye mwili kweli ni Mwana wa Mungu, au ni Mungu Mwenyewe?
11Swali la 11: Wewe hushuhudia kuwa Mungu Mwenyezi huonyesha ukweli na hufanya kazi Yake ya hukumu ya siku za mwisho. Nadhani kuwa imani yetu katika Bwana Yesu na kukubali kazi ya Roho Mtakatifu inamaanisha kuwa tayari tumepitia kazi ya Mungu ya hukumu. Hapa kuna maneno ya Bwana Yesu kama ushahidi: “Nisipoenda, Mfariji hatakuja kwenu; lakini nikiondoka, nitamtuma kwenu. Na wakati atakuja, ataushutumu ulimwengu kuhusu dhambi, na kuhusu haki, na kuhusu hukumu” (Yohana 16:7-8). Tunaamini kwamba, ingawa kazi ya Bwana Yesu ilikuwa kazi ya ukombozi, baada ya kupaa mbinguni na siku ya Pentekoste, Roho Mtakatifu alishuka na kufanya kazi kwa wanadamu: “… ataushutumu ulimwengu kuhusu dhambi, na kuhusu haki, na kuhusu hukumu.” Inafaa kuwa kazi ya Mungu ya hukumu katika siku za mwisho, kwa hiyo ninachopenda kukifuatilia ni, ni nini hasa tofauti kati ya kazi ya hukumu katika siku za mwisho zinazofanywa na Mwenyezi Mungu na kazi ya Bwana Yesu?
12Swali la 12: Ulishuhudia kuwa Bwana amerejea na hufanya kazi Yake ya hukumu akianza kwa nyumba ya Mungu katika siku za mwisho. Hili linaonekana kuwa tofauti na hukumu ya kiti cha enzi kikubwa cheupe katika Kitabu cha Ufunuo. Kile watu wengi katika dini wanachofikiria ni kwamba hukumu ya kiti cha enzi kikubwa cheupe imelenga wasioamini walio wa pepo Shetani. Bwana atakapokuja, waumini watachukuliwa kwenda mbinguni, na kisha Atatuma maafa kuwaangamiza wasioamini. Hiyo ndiyo hukumu mbele ya kiti cha enzi kikubwa cheupe. Unashuhudia mwanzo wa hukumu ya Mungu katika siku za mwisho, lakini hatujaona Mungu akileta maafa kuwaangamiza wasioamini. Basi inawezaje kuwa hukumu ya kiti cha enzi kikubwa cheupe?
13Swali la 13: Watu wengi katika ulimwengu wa kidini wanaamini kuwa Bwana Yesu kusema “Imekwisha” (Yohana 19:30) msalabani ni ushahidi kwamba kazi ya Mungu ya wokovu tayari imekamilika kabisa. Na bado unashuhudia kwamba Bwana amerejea katika mwili kuonyesha ukweli na kufanya kazi ya hukumu akianza na nyumba ya Mungu ili kuwaokoa wanadamu kabisa. Kwa hiyo ni kwa njia gani hasa mtu anafaa kuelewa kazi ya Mungu ya kuwaokoa wanadamu? Hatuko dhahiri juu ya kipengele hiki cha ukweli, kwa hiyo tafadhali shiriki hili kwa ajili yetu.
14Swali la 14: Bibilia inasema: “Kwani mwanadamu husadiki moyoni ili kupata haki; na kwa mdomo hukubali hadi apate wokovu” (Warumi 10:10). Tunaamini kwamba Bwana Yesu alitusamehe dhambi zetu na kutufanya kuwa wenye haki kupitia imani. Aidha, tunaamini kwamba mtu akiokolewa mara moja, basi ameokolewa milele, na Bwana atakaporudi tutanyakuliwa na tutaingia katika katika ufalme wa mbinguni. Hivyo kwa nini unashuhudia kuwa tunapaswa kukubali kazi ya Mungu ya hukumu katika siku za mwisho kabla ya kuweza kuokolewa na kuletwa katika ufalme wa mbinguni?
15Swali la 15: Sisi hufuata mfano wa Paulo na hufanya kazi kwa bidii kwa ajili ya Bwana, tukieneza injili na kumshuhudia Bwana, na tukiyalisha makanisa ya Bwana, kama vile Paulo tu: “Nimepigana vita vizuri, nimeutimiza mwendo wangu, nimeihifadhi imani” (2 Timotheo 4:7). Si huku ni kufuata mapenzi ya Mungu? Kutenda kwa njia hii kunamaanisha kuwa tunastahili kunyakuliwa na kuingia katika ufalme wa mbinguni, hivyo kwa nini tunapaswa kuikubali kazi ya Mungu ya hukumu na utakaso katika siku za mwisho kabla tuweze kuletwa katika ufalme wa mbinguni?
16Swali la 16: Unasema kwamba watu wanaomwamini Mungu wanapaswa kuikubali kazi ya hukumu ya Mungu katika siku za mwisho, na ni hapo tu ndipo wanapoweza kutakasiwa tabia yao potovu na wao wenyewe kuokolewa na Mungu. Lakini sisi, kwa mujibu wa mahitaji ya Bwana, hutenda unyenyekevu na uvumilivu, kuwapenda adui zetu, kuibeba misalaba yetu, kuviacha vitu vya dunia, na sisi hufanya kazi na kuhubiri kwa ajili ya Bwana na kadhalika. Hivyo si haya yote ni mabadiliko yetu? Daima tumetafuta kwa njia hii, kwa hiyo hatuwezi kupata utakaso, unyakuo na kuingia katika ufalme wa mbinguni?
17Swali la 17: Unashuhudia kwamba Bwana amerudi katika mwili ili kuonyesha ukweli na kufanya kazi ya hukumu na utakaso wa mwanadamu katika siku za mwisho, lakini wachungaji wa kidini na wazee wa kanisa wanaamini kwamba Bwana atarudi na mawingu, na kwamba wale wote wanaoamini katika Bwana watabadilika umbo mara moja na watanyakuliwa katika mawingu kukutana na Bwana, kama tu alivyosema Paulo: “Kwani maongezi yetu yako mbinguni; ambako pia tunamtazamia Mwokozi, Bwana Yesu Kristo: Atakayeubadilisha mwili wetu wa uovu, ili uweze kuwa kwa kadri ya mwili wake wenye utukufu, kulingana na kufanyika ambapo ataweza kuvitiisha vitu vyote kwake” (Wafilipi 3:20-21). Bwana ni mwenye uweza na hakuna kitu ambacho Hawezi kufanya. Mungu atatubadilisha na kututakasa, akifanikisha hili kwa neno moja tu. Hivyo kwa nini bado Anahitaji kupata mwili ili kuonyesha ukweli na kufanya hatua ya kazi ya hukumu na utakaso wa mwanadamu?
18Swali la 18: Unashuhudia kuwa katika siku za mwisho Mungu huonyesha ukweli na kufanya kazi ya kumhukumu na kumtakasa mwanadamu, hivyo ni kwa jinsi gani hasa Mungu humhukumu, kumtakasa na kumwokoa mwanadamu?
19Swali la 19: Unashuhudia kuwa katika siku za mwisho Mungu hufanya kazi Yake ya hukumu ili kumtakasa na kumwokoa mwanadamu kabisa, lakini baada ya kusoma maneno yaliyoonyeshwa na Mwenyezi Mungu, ninaona kwamba baadhi yayo humhukumu na kumlaani mwanadamu. Kama Mungu humhukumu na kumlaani mwanadamu, si basi mwanadamu atapatwa na adhabu? Na unawezaje kusema kwamba aina hii ya hukumu huwatakasa na kuwaokoa wanadamu?
20Swali la 20: Kipengele kimoja cha kazi ya Bwana Yesu ya ukombozi kilikuwa ni kutusamehe na kutuondolea dhambi zetu, wakati kile kipengele kingine kilikuwa ni kutupa amani na furaha na neema nyingi. Hili linatuwezesha kuona kwamba Mungu ni Mungu mwenye huruma na mwenye upendo. Lakini unashuhudia kwamba Mwenyezi Mungu hufanya kazi ya hukumu katika siku za mwisho, kwamba Yeye huonyesha ukweli na humhukumu na kumwadibu mwanadamu, humpogoa na kumshuhgulikia mwanadamu, humfichua mwanadamu na kuziondosha kila aina ya watu waovu, pepo wabaya na wapinga Kristo, jambo linalowaruhusu watu kuona kwamba tabia ya haki ya Mungu haivumilii kosa lolote. Kwa nini tabia iliyofichuliwa katika kazi ya Bwana Yesu ni tofauti kabisa na tabia iliyofichuliwa katika kazi ya Mwenyezi Mungu? Ni vipi hasa tunafaa kuielewa tabia ya Mungu?
21Swali la 21: Imeandikwa pale pale katika Biblia: “Yesu Kristo ni yuyo huyo jana, na leo na daima” (Waebrania 13:8). Kwa hiyo jina la Bwana halibadiliki kamwe! Lakini unasema kwamba wakati Bwana atakapokuja tena katika siku za mwisho atachukua jina jipya na ataitwa Mwenyezi Mungu. Unawezaje kulielezea?
22Swali la 22: Bwana Yesu alitundikwa msalabani kama sadaka ya dhambi kwa mwanadamu, na hivyo akitukomboa kutoka kwa dhambi. Tukipotea kutoka kwa Bwana Yesu na kumwamini Mwenyezi Mungu, si huu utakuwa usaliti wa Bwana Yesu? Si huu utakuwa uasi?
23Swali la 23: Bwana Yesu alisema: “Ila yeyote akunywaye maji ambaye nitampa hatawahi kuwa na kiu; lakini maji hayo ambayo nitampa yatakuwa chemichemi ya maji ambayo yanachipuka katika uhai wa daima” (Yohana 4:14). Watu wengi wanafikiri kwamba Bwana Yesu tayari ametupa njia ya uzima wa milele, lakini nimeyasoma maneno haya ya Mwenyezi Mungu: “Ni Kristo wa Siku za Mwisho Pekee Ndiye Anayeweza Kumpa Mwanadamu Njia ya Uzima wa Milele.” Haya yote yanahusu nini? Kwa nini yanasema kwamba ni Kristo tu wa siku za mwisho anayeweza kumpa mtu njia ya uzima wa milele?
24Swali la 24: Unashuhudia kuwa Mwenyezi Mungu ni Mungu mwenye mwili ambaye kwa sasa anafanya kazi Yake ya hukumu katika siku za mwisho. Lakini wachungaji wa kidini na wazee wa kanisa wanasema kwamba kazi ya Mwenyezi Mungu kwa kweli ni kazi ya mwanadamu, na pia watu wengi ambao hawamwamini Bwana Yesu wanasema kuwa Ukristo ni imani katika mtu. Bado hatuwezi kutambua hasa ni nini tofauti kati ya kazi ya Mungu na kazi ya mwanadamu, hivyo tafadhali shiriki hili kwa ajili yetu.
25Swali la 25: Unashuhudia kuwa Bwana Yesu amekwisha kurudi kama Mwenyezi Mungu, kwamba Yeye huonyesha ukweli wote ambao utawawezesha watu kupata utakaso na kuokolewa, na kwamba sasa Anafanya kazi ya hukumu kuanzia na nyumba ya Mungu, lakini hatuthubutu kukubali hili. Hii ni kwa sababu wachungaji wa kidini na wazee wa kanisa mara nyingi hutufundisha kwamba maneno na kazi zote za Mungu zimeandikwa katika Biblia na hakuwezi kuwa na maneno mengine au kazi ya Mungu nje ya Biblia, na kwamba kila kitu kinachoipinga au kwenda zaidi ya Biblia ni uasi. Hatuwezi kulitambua tatizo hili, kwa hivyo tafadhali unaweza kutueleza kulihusu.
26Swali la 26: Wachungaji wa kidini na wazee wa kanisa wanashikilia maneno ya Paulo katika Biblia: “Andiko lote limetolewa kwa msukumo wa Mungu” (2 Timotheo 3:16), wakiamini kwamba kila kitu katika Biblia ni maneno ya Mungu. Lakini unasema kwamba maneno ya Biblia si maneno ya Mungu kabisa, kwa hiyo haya yote yanamaanisha nini?
27Swali la 27: Biblia ni kanuni ya Ukristo na wale wanaomwamini Bwana wamefanya hivyo kwa mujibu wa Biblia kwa miaka elfu mbili. Aidha, watu wengi katika ulimwengu wa kidini wanaamini kwamba Biblia inamwakilisha Bwana, imani hiyo katika Bwana ni imani katika Biblia, na imani katika Biblia ni imani katika Bwana, na kwamba mtu akipotea kutoka kwa Biblia basi hawezi kuitwa muumini. Tafadhali hebu niulize kama kumwamini Bwana kwa njia hii au la kunakubaliana na mapenzi ya Bwana?
28Swali la 28: Biblia ni ushahidi wa kazi ya Mungu; ni kwa kusoma Biblia pekee ndiyo wale wanaomwamini Bwana wanaweza kutambua kwamba Mungu aliumba mbingu na dunia na vitu vyote na kuona matendo ya ajabu ya Mungu, ukuu Wake na uweza. Katika Biblia kuna maneno mengi ya Mungu na ushuhuda mwingi wa uzoefu wa mwanadamu; inaweza kuyakimu maisha ya mwanadamu na kuwa na manufaa sana kwa mwanadamu, hivyo kile ninachopenda kufuatilia ni, kwa kweli tunaweza kupata uzima wa milele kwa kusoma Biblia? Kweli hakuna njia ya uzima wa milele katika Biblia?
29Swali la 29: Kwa miaka elfu mbili, imani ya mwanadamu katika Bwana imekuwa imetegemezwa Biblia, na kuja kwa Bwana Yesu hakukuikanusha Biblia ya Agano la Kale. Baada ya Mwenyezi Mungu kufanya kazi Yake ya hukumu katika siku za mwisho, kila mtu anayemkubali Mwenyezi Mungu atalenga kula na kunywa maneno ya Mwenyezi Mungu na aitasoma Biblia mara chache tena. Kile ninachopenda kufuatilia ni, baada ya mtu kuikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho, ni mtazamo gani sahihi hasa mtu anafaa kuwa nao kwa Biblia, na mtu anafaa kuitumia kwa jinsi gani? Imani ya mtu katika Mungu inafaa itegemezwe nini ili mtu aitembee njia ya imani katika Mungu na kupata wokovu wa Mungu?
30Swali la 30: Unashuhudia kwamba Bwana Yesu amekwisha kurudi kama Mwenyezi Mungu mwenye mwili, ambaye huonyesha ukweli wote ambao humtakasa na kumwokoa wanadamu na ambaye hufanya kazi ya hukumu akianzia na familia ya Mungu, hivyo tunafaa kutambuaje sauti ya Mungu na tunafaa kuthibitishaje kwamba Mwenyezi Mungu ndiye hasa Yesu aliyerudi?
31Swali la 31: Unashuhudia kuwa maneno yaliyoonyeshwa na Mwenyezi Mungu katika Neno Laonekana katika Mwili ni maneno ya Mungu Mwenyewe, lakini tunaamini kuwa ni maneno ya mtu aliyepatiwa nuru na Roho Mtakatifu. Kwa hiyo, Kile ningependa kufuatilia ni, ni nini hasa tofauti kati ya maneno yanayoonyeshwa na Mungu mwenye mwili na maneno yaliyosemwa na mtu ambaye amepatiwa nuru na Roho Mtakatifu?
32Swali la 32: Mafarisayo mara kwa mara waliielezaBiblia kinaganaga kwa watu katika masinagogi, wakionekana kuwa wacha Mungu na wenye huruma, na kwa dhahiri hawakuonekana kufanya kitu chochote kinyume cha sheria. Kwa nini Mafarisayo walilaaniwa na Bwana Yesu? Unafiki wao ulidhihirishwaje? Kwa nini husemekana kwamba wachungaji wa kidini na wazee wa kanisa hutembea njia sawa na Mafarisayo wanafiki?
33Swali la 33: Wakati huo, wakati Bwana Yesu alikuja kufanya kazi Yake, Mafarisayo Wayahudi walimkana na kumhukumu Yeye vikali na kumtundika msalabani. Mwenyezi Mungu wa siku za mwisho anapokuja kufanya kazi Yake, wachungaji wa kidini na wazee wa kanisa pia wanamkana Yeye vikali na kumhukumu Yeye, wakimtundika Mungu msalabani tena. Kwa nini Mafarisayo Wayahudi na wachungaji wa kidini na wazee wa kanisa huuchukia ukweli hivyo na kumpinga vikali Kristo kwa njia hii? Ni nini hasa kiini chao cha asili?
34Swali la 34: Wachungaji wa kidini na wazee wa kanisa wana elimu dhabiti ya Biblia, kuieleza Biblia kinaganaga mara kwa mara kwa watu wakiwafanya washikilie Biblia, kwa hiyo kuieleza Biblia kinaganaga na kuiinua kwa kweli ni kumshuhudia na kumtukuza Bwana? Kwa nini inasemwa kwamba wachungaji wa kidini na wazee wa kanisa ni Mafarisayo wa uongo? Bado hatuwezi kulielewa jambo hili, kwa hiyo unaweza kutujibu hili tafadhali?
35Swali la 35: Watu wengi katika ulimwengu wa kidini wanaamini kuwa wachungaji na wazee wa kanisa wamechaguliwa na kuwekwa na Bwana, na kwamba wote humtumikia Bwana katika makanisa ya kidini; tukiwafuata na kuwatii wachungaji na wazee wa kanisa, sisi kwa kweli tunamtii na kumfuata Bwana. Kwa mintarafu hasa ya maana ya kumtii mwanadamu na kumfuata mwanadamu, na kinachomaanishwa hasa maana na kumtii Mungu na kumfuata Mungu, watu wengi hawaelewi kipengele hiki cha ukweli, kwa hiyo tafadhali shiriki hili kwa ajili yetu.
36Swali la 36: Wachungaji wa kidini na wazee wa kanisa hushikilia mamlaka katika ulimwengu wa kidini na watu wengi huwatii na kuwafuata—huu ni ukweli. Unasema kwamba wachungaji wa kidini na wazee wa kanisa hawaukubali ukweli wa Mungu kuwa amekuwa mwili, kwamba hawaamini ukweli ulioonyeshwa na Mungu mwenye mwili na kwamba wanaitembea njia ya Mafarisayo, na tunakubaliana na jambo hili. Lakini kwa nini unasema kuwa wachungaji wa kidini na wazee wa kanisa wote ni Mafarisayo wanafiki, kuwa wote ni wapinga Kristo waliofichuliwa na kazi ya Mungu katika siku za mwisho, na kwamba wataingia katika maangamizo mwishoni? Hatuwezi kukubali jambo hili kwa wakati huu. Tafadhali shiriki unachotegemeza dai hili, kwamba watu hawa hawawezi kuokolewa na kwamba ni lazima wote waingie katika maangamizo.
37Swali la 37: Ingawa wachungaji na wazee wa kanisa wanashikilia mamlaka katika ulimwengu wa kidini na wanaitembea njia ya Mafarisayo wanafiki, tunamwamini Bwana Yesu, sio wachungaji na wazee wa kanisa, kwa hiyo unawezaje kusema kwamba sisi pia tunaitembea njia ya Mafarisayo? Je, hatuwezi kuokolewa kwa kumwamini Mungu ndani ya dini?
38Swali la 38: Katika miaka ya hivi karibuni, makundi ya kidini na madhehebu mbalimbali katika ulimwengu wa kidini yamekosa matumaini zaidi na zaidi, watu wamepoteza imani yao ya asili na upendo na wamekuwa hasi zaidi na zaidi na dhaifu. Pia tunahisi kunyauka kwa roho na tunahisi kuwa hatuna chochote cha kuhubiri na kwamba sote tumepoteza kazi ya Roho Mtakatifu. Tafadhali tuambie, kwa nini ulimwengu wote wa kidini umekosa matumaini hivyo? Mungu kweli anauchukia na umetelekezwa na Mungu? Tunafaaje kuelewa laana ya Mungu ya ulimwengu wa kidini katika Kitabu cha Ufunuo?
39Swali la 39: Kwa miaka elfu mbili, dunia nzima ya kidini imeamini kwamba Mungu ni Utatu, na Utatu ni nadharia bora zaidi ya mafundisho yote ya Kikristo. Hivyo, tafsiri ya “Utatu” inashikilia kweli? Utatu una uwepo kweli? Kwa nini unasema kwamba Utatu ni uwongo mkuu mno wa ulimwengu wa kidini?
40Swali la 40: Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho, huonyesha ukweli na kufanya kazi Yake ya hukumu ya kuwatakasa na kuwaokoa wanadamu, na bado Yeye hukabiliwa na uasi mkali na uchukuliwaji wa hatua kali wa ukatili wa ulimwengu wa kidini na serikali ya Kikomunisti ya China. Serikali ya CCP hata huhamasisha vyombo vyake vyote vya habari na majeshi kumshutumu Kristo, kukufuru dhidi Yake, kumtia mbaroni na kumwangamiza. Wakati Bwana Yesu alizaliwa, Mfalme Herode alisikia kuwa “Mfalme wa Israeli” alikuwa amezaliwa na akaamrisha watoto wote wa kiume wauawe Bethlehemu na wa chini ya umri wa miaka miwili; ingekuwa afadhali kwake kuwaua watoto elfu kumi kuliko kumwacha Kristo aishi. Mungu amekuwa mwili ili kuwaokoa wanadamu, hivyo kwa nini ulimwengu wa kidini na serikali kana Mungu hushutumu na kukufuru dhidi ya kuonekana na kazi ya Mungu? Kwa nini wanaipinda nguvu ya nchi yote na kutumia jitihada zote kumtundika Kristo msalabani? Kwa nini wanadamu ni waovu sana, na kwa nini wanamchukia Mungu hivyo na kujiweka dhidi Yake?
41Swali la 41: Tumeona mazungumzo mengi kwa mtandao na serikali ya Kikomunisti ya Kichina na ulimwengu wa kidini wakilisingizia, kulikashifu, kulishambulia na kulitahayarisha Kanisa la Mwenyezi Mungu (kama vile “tukio la 5.28” huko Zhaoyuan, jimbo la Shandong). Tunajua pia kuwa CCP ni bora mno kwa kudanganya na kunena uongo na kupinda ukweli ili kuwahadaa watu, na vilevile kuwa bora sana katika kuyakashifu, kuyashambulia na kuyahukumu yale mataifa ambayo ina chuki kwayo, hivyo neno lolote ambalo CCP husema ni lazima lisiaminiwe kabisa. Lakini mambo mengi yanayosemwa na wachungaji wa kidini na wazee wa kanisa ni sawa na yale ambayo CCP huyasema, hivyo ni jinsi gani tunafaa kutambua maneno ya kashfa, ya kutahayarisha yanayotoka kwa CCP na ulimwengu wa kidini?