Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

505 Lengo la Ufuatiliaji Wako ni Lipi?

1 Ikiwa kusudi la kufuatilia kwako si kutafuta ukweli, basi afadhali utumie fursa hii na kurudi duniani ili kufanikiwa. Kupoteza muda wako hivi kwa kweli hakuna thamani—kwa nini ujitese? Hungefurahia mambo ya aina yote katika dunia nzuri? Kuna faida gani kuzurura zurura hapa ukitafuta mahali ambapo unaweza kuwa na furaha? Mwana wa Adamu hana pahali pa kulaza kichwa Chake, hivyo ungekuwaje na pahali pa utulivu? Angewezaje kukuumbia pahali pazuri pa utulivu? Hilo lawezekana?

2 Kando na hukumu Yangu, leo unaweza kupokea tu mafundisho ya ukweli. Huwezi kupata faraja kutoka Kwangu wala huwezi kupata mahali pa starehe unapopafikiria usiku na mchana. Sitakupa utajiri wa duniani. Ukifuatilia kwa kweli, Niko tayari kukupa njia ya uhai yote, kukutaka uwe kama samaki aliyerudi majini. Usipofuatilia kwa kweli, Nitayafuta yote. Siko tayari kutoa maneno kutoka kwa kinywa Changu kwa wale watu ambao ni wenye tamaa ya faraja nao ni kama nguruwe na mbwa tu!

Umetoholewa kutoka katika “Mbona Huko Tayari Kuwa Foili?” katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia:Njia ya Imani ya Mafanikio Katika Mungu

Inayofuata:Fuata Njia Iongozwayo na Roho Mtakatifu Katika Imani Yako

Maudhui Yanayohusiana