Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

Meupe na Safi ni Maji yaliyo Kando ya Kiti cha Enzi cha Mungu

Maji yaliyo kando ya kiti cha enzi cha Mungu, safi na meupe, yanatulisha sisi.

Neno la Mungu, maji ya uzima, mtiririko unaostawisha mioyo yetu.

Mwenyezi Mungu, tunakusifu Wewe. Shukrani ziwe Kwako na mwanga Wako!

Kutoka kwa upotovu Ulituokoa, hivyo sasa tunaishi katika mwanga Wako!

Sasa tunaishi katika mwanga Wako!

Tumefanywa upya; Mungu anafurahia, tunapendeza.

Mungu anatuokoa kutoka kwa upotovu.

Sasa tunaishi, tunaishi katika mwanga Wake; tumefanywa upya.

Safi na meupe ni maji yaliyo kando ya kiti cha enzi cha Mungu.

Safi na meupe ni maji yaliyo kando ya kiti cha enzi cha Mungu.

Utukufu uwe kwa Mwenyezi Mungu; Unaleta wokovu kwetu.

Tabia Yako ya haki inaonyeshwa kwetu waasi.

Asili yetu potovu inafichuliwa; tumeamshwa kutoka kwa ndoto yetu.

Tunaongozwa mbele ya kiti cha enzi cha Mungu; sasa njia ya kweli imepatikana.

Njia ya kweli imepatikana.

Tumefanywa upya; Mungu anafurahia, tunapendeza.

Mungu anatuokoa kutoka kwa upotovu.

Sasa tunaishi, tunaishi katika mwanga Wake; tumefanywa upya.

Safi na meupe ni maji yaliyo kando ya kiti cha enzi cha Mungu.

Safi na meupe ni maji yaliyo kando ya kiti cha enzi cha Mungu.

Kando ya kiti cha enzi tunamtumikia Mungu, kufanya mapenzi Yake yatendeke duniani.

Neno la Mungu hutuongoza, hutusaidia kujua kwamba Mungu ni mwenye haki.

Sasa najua nia ya Mungu; nitautoa moyo wangu Kwake.

Namwabudu Yeye kama kiumbe aliyeumbwa; namsifu Yeye maisha yangu yote.

Namsifu Yeye maisha yangu yote.

Tumefanywa upya; Mungu anafurahia, tunapendeza.

Mungu anatuokoa kutoka kwa upotovu.

Sasa tunaishi, tunaishi katika mwanga Wake; tumefanywa upya.

Safi na meupe ni maji yaliyo kando ya kiti cha enzi cha Mungu.

Safi na meupe ni maji yaliyo kando ya kiti cha enzi cha Mungu.

Safi na meupe ni maji yaliyo kando ya kiti cha enzi cha Mungu.

Iliyotangulia:Upendo wa Kweli wa Mungu

Inayofuata:Katika Familia Ya Mungu, tunakutana na kila mmoja

Maudhui Yanayohusiana