40. Kutembea katika Njia Sahihi ya Maisha ya Mwanadamu
Ⅰ
Kila kitu nilicho nacho kinatoka kwa Mungu na kwa neema Yake kabisa.
Mungu alinipa uzima na kunilea; naamini ni vizuri kulipa.
Mungu anashikilia mamlaka yote, jalaa ya kuwepo kwangu. Uzima ama kifo vimo mikononi Mwake.
Maisha ya kweli ya mwanadamu ni kufanya bidii, kuishi kumtosheleza Mungu.
Najua ukweli, umeniweka huru. Naishi na thamani ya maisha ya mwanadamu.
Najua ukweli, unanifanya nitabasamu. Niishi na maana ya maisha ya mwanadamu.
Najua ukweli, umeniweka huru. Naishi na thamani ya maisha ya mwanadamu.
Najua ukweli, Unanifanya nitabasamu. Najua asili ya maisha ya mwanadamu.
Ⅱ
Nimeonja utamu katika uchungu; hiyo ndiyo ladha ya upendo Wako.
Nimeona mwanzo wa matumaini mapya, yaliyojaa imani na yaliyojaa nguvu.
Kutembea katika njia sahihi ya maisha ya mwanadamu. Faraja inaishi kwa kina ndani ya moyo wangu.
Kimo changu ni kidogo, lakini nitaendelea, nitaendelea na ufuatiliaji wangu.