Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho "Mungu Anaongoza Majaliwa ya Wanadamu Wote"

Usomaji wa Maneno ya Mungu   2718  

Utambulisho

Mwenyezi Mungu alisema, "Kama wewe ni Mkristo wa kweli, basi hakika utaamini kwamba kupanda na kushuka kwa nchi ama taifa lolote hufanyika kulingana na miundo ya Mungu. Mungu pekee hujua majaliwa ya nchi ama taifa, na Mungu pekee hudhibiti mwendo wa huyu mwanadamu. Iwapo mwanadamu anataka kuwa na majaliwa mazuri, iwapo nchi inataka kuwa na majaliwa mazuri, basi lazima mwanadamu ampigie Mungu magoti kwa ibada, atubu na kukiri mbele ya Mungu, la sivyo majaliwa na hatima ya mwanadamu hayataepuka kumalizika kwa janga."Baadhi ya vifaa ni kutoka:

Yad Vashem http://www.yadvashem.org/ https://www.ushmm.org

Bundesarchiv, Bild 102-10541 / Georg Pahl / CC-BY-SA 3.0

https://www.stockfootage.com

Food and Agriculture Organization of the United Nations, [2017], [World Food Day 2017 – Change the future of migration | # WFD2017], [https://www.youtube.com/watch?v=rvwce0pDwlE]. Reproduced with permission