Swahili Worship Song 2020 | "Mungu Ameamulia Kabla Njia Ambazo Mwanadamu Lazima Atembelee" (Music Video)

Swahili Worship Song 2020 | "Mungu Ameamulia Kabla Njia Ambazo Mwanadamu Lazima Atembelee" (Music Video)

1031 |10/03/2020

Mimi huhisi kila mara kwamba njia ambayo Mungu hutuongoza kwayo

haiendi tu juu moja kwa moja,

lakini ni njia ya kupinda iliyojaa mashimo ya barabarani,

na Mungu anasema kwamba kadiri njia inavyokuwa yenye miamba mingi

ndivyo inavyoweza kufichua mioyo yetu ya upendo zaidi,

lakini hakuna mmoja wetu anayeweza kuifungua aina hii ya njia,

lakini hakuna mmoja wetu anayeweza kuifungua aina hii ya njia.

Katika uzoefu Wangu,

Nimetembea njia nyingi zenye miamba, danganyifu

na Nimevumilia mateso makuu;

wakati mwingine hata Nimepatwa na majonzi mpaka Nilitaka kulia.

Naamini kwamba hii ni njia inayoongozwa na Mungu,

kwa hiyo Navumilia uchungu wa mateso yote na kuendelea.

Kwani hili ndilo Mungu ameamuru, kwa hiyo nani anaweza kuliepuka?

Siombi kupata baraka yoyote;

yote Ninayoomba ni kwamba Niweze kutembea njia Ninayostahili kutembea

kulingana na mapenzi ya Mungu.

Sitafuti kuwaiga wengine au kutembea njia ambazo wanatembea—

yote Ninayoomba ni kwamba Niweze kutimiza bidii Yangu

ya kutembea njia Yangu teule mpaka mwisho.

Kadiri ambavyo mwanadamu anapaswa kuteseka

na umbali ambao anapaswa kutembea vimeamriwa na Mungu

na kwamba hakuna anayeweza kumsaidia mtu yeyote mwingine.

Kadiri ambavyo mwanadamu anapaswa kuteseka

na umbali ambao anapaswa kutembea vimeamriwa na Mungu

na kwamba hakuna anayeweza kumsaidia mtu yeyote mwingine,

vimeamriwa na Mungu

na kwamba hakuna anayeweza kumsaidia mtu yeyote mwingine.

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

Onyesha zaidi
Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Shiriki

Ghairi