Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Kwa nini Wachungaji na Wazee Wanalihukumu Umeme wa Mashariki

Kufichua Ukweli   567  

Utambulisho

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Kwa nini Wachungaji na Wazee Wanalihukumu Umeme wa Mashariki


Kwa nini wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dini wanakataa na kumhukumu Mwenyezi Mungu? Ni kwa sababu wanachukia, ni wenye uhasama na hawawezi kukubali ukweli ambao Mwenyezi Mungu mwenye mwili huonyesha. Hii ndio maana wanamkataa, wanamhukumu na kumpinga Kristo. Hii inafunua kiini cha shetani walicho nacho ambacho kinachukia ukweli. Ukweli ambao Kristo anaonyesha ni wa nguvu kubwa na wenye mamlaka. Unaweza kuamsha na kuokoa jamii ya binadamu na vilevile kusababisha watu kujinasua kutoka kwa nguvu zote za Shetani na kumrudia Mungu. Ndiyo sababu, ili kulinda umaarufu wao wenyewe, faida na hadhi, viongozi wa ulimwengu wa kidini humpiga Kristo misumari msalabani tena. Huu ndio ukweli wa kweli na kiini kuhusu jinsi viongozi wa ulimwengu wa kidini wanamtumikia Mungu na bado wanamkataa Mungu wakati huo huo.


Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.


Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.