Wimbo wa Kikristo | Ni Mungu tu Ampendaye Mwanadamu Zaidi

12/04/2020

Mungu anakuwa mwili katika siku sa mwisho kumwokoa mwanadamu

kwa kuwa Anampenda mwanadamu.

Akitiwa msukumo na upendo Wake, Anatekeleza kazi ya leo.

Iko chini ya msingi wa upendo.

Mungu alikuwa mwili

na Aliteseka kwa mateso makubwa ili kuliokoa kundi hili la binadamu walioharibika.

Ni maumivu kiasi gani Aliyopitia!

Tena na tena, Anaonyesha upendo Wake usio na kipimo.

Hayupo radhi kutoa sadaka au kupoteza roho hata moja.

Mwanadamu hajali jinsi siku zake za usoni zitakavuokuwa.

Mwanadamu hajui jinsi ya kuyathamini maisha yake mwenyewe.

Lakini Mungu anajua.

Ni Yeye tu Ampendaye mwanadamu. Eh, eh.

Maneno ya Mungu yanamponya, yamtia moyo mwanadamu.

Yamhukumu na kumlaani, yanamfichulia na kuahidi.

Bila kujali mbinu, yote hii imetawaliwa na upendo.

Hii ni dutu ya kazi Yake.

Kwa nini watu wengi wanafuatilia kwa karibu?

Kwa nini watu wengi wamekuwa na shauku kubwa hivi?

Utahisi kuwa upendo wa Mungu ndio halisi zaidi.

Wakati wa Mungu ndio kamili. Hachelewi kamwe.

Hayupo radhi kutoa sadaka au kupoteza roho hata moja.

Mwanadamu hajali jinsi siku zake za usoni zitakavuokuwa.

Mwanadamu hajui jinsi ya kuyathamini maisha yake mwenyewe.

Lakini Mungu anajua.

Eh. Ni Yeye tu Ampendaye mwanadamu.

Wakidhani kwamba wanajipenda.

Kwa kweli, ni upendo gani ambao watu wanao wao kwa wao?

Utahisi kuwa upendo wa Mungu ndio halisi zaidi.

Ikiwa Mungu hangekuwa mwili ili kufanya kazi

na kumwongoza mwanadamu uso kwa uso,

basi kuuelewa upendo wa Mungu kwa kweli kisingekuwa kitu rahisi kufanya.

Hayupo radhi kutoa sadaka au kupoteza roho hata moja.

Mwanadamu hajali jinsi siku zake za usoni zitakavuokuwa.

Mwanadamu hajui jinsi ya kuyathamini maisha yake mwenyewe.

Lakini Mungu anajua.

Eh. Ni Yeye tu Ampendaye mwanadamu.

Ni Mungu pekee ndiye Anayewapenda sana binadamu.

Ni Mungu pekee ndiye Anayewapenda sana binadamu.

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp