Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Maonyesho ya Mungu | "Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu" | Only Those Who Know God Can Be Perfected

Usomaji wa Maneno ya Mungu   0  

Utambulisho

Maonyesho ya Mungu | "Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu" | Only Those Who Know God Can Be Perfected


Mwenyezi Mungu alivyosema, "Lazima muwe wazi kuhusu njia mnayotembelea; lazima muwe wazi kuhusu njia mtakayotumia kwenye siku za usoni, ni nini haswa ambacho Mungu atafanya kuwa timilifu na ni nini mlichoaminishiwa. Siku moja, pengine, utajaribiwa, na kama wakati huo mtaweza kupata mhemko kutoka kwa yale aliyopitia Petro, utawaonyesha kwamba kwa kweli unatembea njia ya Petro. Petro alipongezwa na Mungu kwa imani na upendo wake wa kweli, na kwa utiifu wake kwa Mungu. Na ilikuwa kutokana na uaminifu wake na kutamani kwake kwa Mungu katika moyo wake ndiposa Mungu akamfanya kuwa timilifu. Kama kweli unao upendo na imani kama hiyo ya Petro, basi Yesu kwa kweli atakufanya kuwa timilifu."