Maneno ya Mungu ya Kila Siku | Wanaompenda Mungu Wataishi Milele Katika Mwangaza Wake | Dondoo 501

Maneno ya Mungu ya Kila Siku | Wanaompenda Mungu Wataishi Milele Katika Mwangaza Wake | Dondoo 501

0 |16/09/2020

Kadiri unavyoweka ukweli katika vitendo, ndivyo unavyokuwa na ukweli; kadiri unavyoweka ukweli katika vitendo, ndivyo unavyokuwa na upendo wa Mungu; na kadiri unavyoweka ukweli katika vitendo, ndivyo unavyobarikiwa na Mungu. Kama utatenda kwa njia hii kila mara, utauona upendo wa Mungu ndani yako hatua kwa hatua, na utamjua Mungu kama Petro alivyomjua Mungu: Petro alisema kuwa si kuwa Mungu ana busara ya kuumba mbingu na dunia na vitu vyote vilivyomo pekee, lakini, aidha, kuwa Ana busara ya kufanya kazi halisi ndani ya watu. Petro alisema kuwa Mungu hastahili tu upendo wa watu kwa sababu ya uumbaji Wake wa mbingu na dunia na vitu vyote vilivyomo, lakini, vilevile, kwa sababu ya uwezo Wake wa kuumba mwanadamu, kumwokoa, kumfanya mwanadamu awe mkamilifu, na kutoa upendo wake kwa mwanadamu. Petro alimwambia Yesu: “Je, Hustahili upendo wa watu zaidi ya kuumba mbingu na dunia na vitu vyote vilivyomo? Kuna mengi ndani Yako ambayo yanapendeka, unatenda na kuendelea katika maisha halisi, Roho Wako ananigusa ndani, unanifundisha nidhamu, unanikemea—haya mambo yanastahili zaidi upendo wa watu.” Kama unataka kuona na kupitia upendo wa Mungu, basi lazima uzuru na kutafuta katika maisha halisi, na uwe tayari kuweka kando mwili wako. Lazima ufanye azimio hili: kuwa mtu mwenye uamuzi, ambaye anaweza kumridhisha Mungu katika mambo yote, bila ya kuzembea, au kutamani kuufurahisha mwili, kutoishi kwa ajili ya mwili lakini kuishi kwa ajili ya Mungu. Kunaweza kuwa na nyakati ambazo hukumridhisha Mungu. Hii ni kwa sababu huelewi mapenzi ya Mungu; wakati ujao, hata kama itahitaji juhudi zaidi, lazima umridhishe Mungu, na lazima usiuridhishe mwili. Unapopitia kwa njia hii, utakuja kumjua Mungu. Utaona kuwa Mungu aliumba mbingu na dunia na vitu vyote vilivyomo, na Amekuwa mwili ili watu wamwone kwa uhakika, na kujihusisha na Yeye, kuwa ana uwezo wa kuishi miongoni mwa wanadamu, kuwa Roho Wake aweza kufanya watu kuwa wakamilifu katika maisha halisi, kuwawezesha kuona upendo na uzoefu wa nidhamu Yake, kurudi Kwake, na baraka Zake. Kama huwa unapitia kwa njia hii, katika maisha halisi hutatenganishwa na Mungu, na kama siku moja uhusiano wako na Mungu utaacha kuwa wa kawaida, utaweza kupatwa na aibu, na kuweza kuhisi huzuni. Unapokuwa na uhusiano wa kawaida na Mungu, hutatamani kamwe kutaka kumuacha, na siku moja Mungu akisema Atakuacha, utaogopa, na kusema kuwa ni heri ufe kuliko kuachwa na Mungu. Punde tu unapokuwa na hisia hizi, utahisi kuwa hakuna uwezo wa kumwacha Mungu, na kwa njia hii utakuwa na msingi, na utafurahia upendo wa Mungu wa kweli.

Kimetoholewa kutoka katika Neno Laonekana katika Mwili

Practice the Truth More, Be Blessed by God More

I

God blesses those who have visions, who have the truth and have knowledge, who truly love Him. To behold God’s love, you will need to practice truth in real life, swallow pain and forsake your loves to please God and bring Him delight. Despite the tears you may cry, you must still satisfy God’s heart. You’ll be blessed and the pain you bear will bring the Holy Spirit’s work. Through real life, through experiencing God’s words, people get to see, they get to see God’s loveliness. And only if they’ve tasted His love can they truly love Him. The more you practice truth, the more you’re blessed by God. The more you practice truth, you’re more possessed of the truth. The more you practice the truth, the more you’re possessed of God’s love.

II

If you always practice in this way, you’ll slowly see God’s love in you. And you’ll know God as Peter did, that God not only has the wisdom to create the heavens and the earth and all things, but moreover, He also has the wisdom to, to do real work in people. Peter said, God’s worthy of people’s love because He made the heavens and the earth and all things that ever were. And moreover, it’s because He made man, He can save man and make him perfect, He bequeaths His love to man. There’s so much to love about Him. Through real life, through experiencing God’s words, people get to see, they get to see God’s loveliness. And only if they’ve tasted His love can they truly love Him. The more you practice truth, the more you’re blessed by God. The more you practice truth, you’re more possessed of the truth. The more you practice the truth, the more you’re possessed of God’s love. The more you practice truth, the more you’re blessed by God. The more you practice truth, you’re more possessed of the truth. The more you practice the truth, the more you’re possessed of God’s love.

from Follow the Lamb and Sing New Songs

Onyesha zaidi
Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Shiriki

Ghairi