Tenzi ya Rohoni | Wamebarikiwa Wale Wanaojitumia Kweli kwa Ajili ya Mungu

Tenzi ya Rohoni | Wamebarikiwa Wale Wanaojitumia Kweli kwa Ajili ya Mungu

816 |01/07/2020

Leo, Mungu anampenda yeyote anayetekeleza mapenzi Yake,

yeyote anayeweza kuidhukuru mizigo Yake,

na yeyote anayeweza kutoa kila kitu chake Kwake kwa moyo wa kweli na uaminifu,

Mungu atawapa nuru daima, kutowaacha waende mbali naye.

Mungu atawapa nuru daima, kutowaacha waende mbali naye.

Mara nyingi Mungu husema,

"Kwa wale wanaotumia rasilmali kwa dhati kwa ajili Yangu,

hakika Nitakubariki sana."

"Bariki" ina maana gani? Je, unajua?

Kuhusu kazi ya sasa ya Roho Mtakatifu,

inaonyesha mizigo Anayokupa,

inaonyesha mizigo Anayokupa.

Wote wanaoweza kuubebea kanisa mzigo,

ambao hujitolea kwa dhati kwa ajili ya Mungu,

mzigo wao na moyo wao wa kweli ni baraka kutoka kwa Mungu.

Aidha, ufunuo wa Mungu kwao pia ni baraka kutoka Kwake.

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Onyesha zaidi
Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Shiriki

Ghairi