Swahili Worship Song 2020 | "Wamebarikiwa Wale Wanaokubali Kazi Mpya ya Mungu" (Music Video)

Swahili Worship Song 2020 | "Wamebarikiwa Wale Wanaokubali Kazi Mpya ya Mungu" (Music Video)

3766 |14/02/2020

Wale wote ambao huweza kutii matamshi ya sasa

ya Roho Mtakatifu wamebarikiwa.

Haijalishi vile walikuwa,

au vile Roho Mtakatifu alikuwa akifanya kazi ndani yao—

wale ambao wamepata kazi ya karibuni zaidi ni waliobarikiwa zaidi,

na wale ambao hawawezi kufuata kazi ya karibuni zaidi huondoshwa.

Mungu anataka wale wanaoweza kukubali nuru mpya,

na Anataka wale ambao hukubali na kujua kazi Yake ya karibuni zaidi.

Mwanamwali safi anaweza kutafuta kazi ya Roho Mtakatifu

na kuelewa mambo mapya,

na zaidi ya hayo, kuweza kuweka kando dhana za zamani,

na kutii kazi ya Mungu leo.

Kundi hili la watu, ambao hukubali kazi mpya zaidi ya leo,

walijaaliwa na Mungu kabla ya enzi,

na ni ambao wamebarikiwa zaidi ya watu wote.

Ninyi huisikia sauti ya Mungu moja kwa moja, na kutazama kuonekana kwa Mungu,

na hivyo, kotekote mbinguni na duniani, na kotekote katika enzi,

hakuna waliobarikiwa kuliko ninyi, hili kundi la watu.

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

Onyesha zaidi
Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Shiriki

Ghairi