Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

“Nimewahi Treni ya Mwisho” – Mwenyezi Mungu Hutoa Njia ya Uzima wa Milele kwa Binadamu | Swahili Christian Movie Clip 6/6

Dondoo Maalum za Filamu   985  

Utambulisho

“Nimewahi Treni ya Mwisho” – Mwenyezi Mungu Hutoa Njia ya Uzima wa Milele kwa Binadamu | Swahili Christian Movie Clip 6/6


Mwishoni mwa Enzi ya Sheria, Wayahudi walishikilia kwa ukaidi sheria yao na kukataa kukubali kazi ya Bwana Yesu, ambayo iliwafanya waanguke katika giza na kupoteza wokovu wa Mungu. Sasa katika zile siku za mwisho, dunia nzima ya kidini inalinda tu jina la Bwana Yesu na kukataa kumkubali Mwenyezi Mungu, na hivyo kuisababisha kuwa na ukiwa zaidi na zaidi na kuwa jangwa lilisoweza kuzaa matunda. Kwa nini hasa iko hivi? Ni kwa sababu Mungu pekee ndiye chemchemi ya maji yaliyo hai ya uzima na Yeye ndiye chanzo cha uzima wa vitu vyote. Ni kwa kuzingatia kazi ya Mungu tu ndipo mwanadamu anaweza kupata utoaji wa maji yaliyo hai ya uzima, na anaweza kupata ukweli na uzima. Mwenyezi Mungu anasema, "Kristo wa siku za mwisho huleta uzima, na huleta kudumu kwa njia ya kweli na ya milele. Ukweli huu ni njia ambayo binadamu atapata uzima, na njia pekee ambayo mtu atamjua Mungu na kuidhinishwa na Mungu" (Neno Laonekana katika Mwili).

Pakua Programu Bila Malipo

Video za Ajabu Zakuongoza Kuielewa Kazi ya Mungu

Pakua Programu Bila Malipo

Video za Ajabu Zakuongoza Kuielewa Kazi ya Mungu