Ushuhuda wa Washindi

Juzuu ya I

Tangu wakati ambapo Mwenyezi Mungu alikuza kazi Yake ya hukumu ya siku za mwisho huko bara China, ingawa wateule wa Mungu wamekumbwa na mateso makali ya kikatili kutoka kwa serikali ya China, wamekuwa thabiti na waaminifu bila kusita chini ya mwongozo wa maneno ya Mungu, wakitoa ushuhuda mkuu wa ushindi dhidi ya Shetani. Ukweli unaonyesha kabisa kwamba Mwenyezi Mungu hakika Ametengeneza kikundi cha washindi katika Enzi ya Ufalme, na hivyo kuufanikisha mpango wa Mungu wa usimamizi wa miaka elfu sita.

Matukio na Ushuhuda

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp