Ushuhuda wa Kumrudia Mungu

Makala 55 Video 6

Moyo Unaorandaranda Wakuja Nyumbani

Na Novo, Ufilipino Jina langu ni Novo, na mimi natoka Ufilipino. Nimemfuata mama yangu katika imani yake katika Mungu tangu nilipokuwa mdogo, na ninge…

Kurejea Kutoka Ukingoni

Na Zhao Guangming, China Mwanzoni mwa miaka ya 1980, nilikuwa katika miaka yangu 30 nami nilikuwa nikifanyia kazi kampuni ya ujenzi. Nilijifikira kuwa…

Kurudi Uzimani Kutoka Ukingoni mwa Mauti

Na Yang Mei, China Mnamo 2007 niliugua ghafla ugonjwa sugu wa figo. Waliposikia habari hizi, mama yangu na shemeji yangu ambao ni Wakristo, na marafi…

Mungu Yuko Kando Yangu

Na Guozi, Marekani Nilizaliwa katika familia ya Kikristo, na nilipokuwa na umri wa mwaka mmoja, mama yangu alikubali kazi mpya ya Bwana Yesu aliyerudi…

Niliupata Mwanga wa Kweli

Bila kufahamu, chini ya uongozo wa maneno ya Mungu, nikaanza pia kutafuta mabadiliko katika tabia yangu na kuona vitu kulingana na maneno ya Mungu; pia nilikuwa na ufahamu wa na nilijua jinsi ya kutofautisha asili mbaya ya mkondo wa jamii na taratibu na njia ambazo Shetani humdanganyia mtu.

Bahati na Bahati Mbaya

Kama haingekuwa kwa ajili ya ugonjwa wangu ambao umenizuia kutafuta umaarufu na kupata, bado ningekuwa mashine ya kutengeneza fedha duniani. Ningekuwa kipofu kwa hili mpaka uharibifu wa Shetani uniue. Shetani alinidhuru mimi kwa kutumia umaarufu, faida, na magonjwa. Kinyume na hilo, Mwenyezi Mungu alitumia ugonjwa yangu kunileta mbele Yake. Kupitia kwa maneno Yake, niliona wazi kwamba Shetani anahusika na upotovu wa mwanadamu. Niliona pia wazi jinsi ilivyo vibaya na cha kudharauliwa kwa Shetani kutumia umaarufu na faida kuwameza watu. Hatimaye nilikuwa katika nafasi ya kutupa mbali pingu za umaarufu na faida na kuanzisha mtazamo sahihi wa maisha. Roho yangu iliwekwa huru. Mungu ni mwenyezi sana na mwenye busara!

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp