Maisha ya Kikristo: Huenda Nisiwe Tajiri, lakini Nina Bahati Sana
Katika jamii ya kisasa, kila mtu huweka pesa mbele ya yote na hutaka kuchuma pesa nyingi, na Bong hakuwa tofauti. Ili Kuchuma pesa, Bong hakusita kujitolea afya yake mwenyewe, na akawa ameshikwa katika kizingia kisichoepukika cha pesa. Ulikuwa ni ujaji wa wakati wa kufaa wa mkono wa upendo wa Mungu uliomwokoa Bong kutoka kwa njia hii mbovu na, hatimaye, hakufanya kazi kwa bidii sanatena ili kuwa tajiri, lakini badala yake alilenga kufuatilia ukweli ili kulipizia upendo wa Mungu. Roho ya Bong kisha inahisi uhuru usio na kifani na yeye anakuja kuwa na hisia ya kina ya jinsi ambavyo amebahatika.