461 Mungu Ameamulia Kabla Njia Ambazo Mwanadamu Lazima Atembelee

Mimi huhisi kila mara kwamba njia ambayo Mungu hutuongoza kwayo haiendi tu juu moja kwa moja, lakini ni njia ya kupinda iliyojaa mashimo ya barabarani, na Mungu anasema kwamba kadri njia inavyokuwa na miamba mingi ndivyo inavyoweza kufichua mioyo yetu ya upendo zaidi, lakini hakuna mmoja wetu anayeweza kuifungua aina hii ya njia. Katika uzoefu Wangu, Nimetembea njia nyingi zenye miamba, danganyifu na Nimevumilia mateso makuu; wakati mwingine hata Nimepatwa na majonzi mpaka Nilitaka kulia, lakini Nimetembea njia hii mpaka siku hii. Naamini kwamba hii ni njia inayoongozwa na Mungu, kwa hiyo Navumilia uchungu wa mateso yote na kuendelea. Kwani hili ndilo Mungu ameamuru, kwa hiyo nani anaweza kuliepuka? Siombi kupata baraka yoyote; yote Ninayoomba ni kwamba Niweze kutembea njia Ninayostahili kutembea kulingana na mapenzi ya Mungu. Sitafuti kuwaiga wengine au kutembea njia ambazo wanatembea—yote Ninayoomba ni kwamba Niweze kutimiza bidii Yangu ya kutembea njia Yangu teule mpaka mwisho. Hii ni kwa sababu Nimeamini kila mara kwamba haijalishi vile ambavyo mtu lazima ateseke na vile ambavyo anatakiwa kutembea katika njia yake hii inaamriwa na Mungu na kwamba hakuna anayeweza kumsaidia mwingine.

Umetoholewa kutoka katika “Njia … (6)” katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 459 Mungu Aliamua Kabla Kuwa Tufuate Njia Hii

Inayofuata: 462 Umeingia Katika Njia Sahihi ya Kumwamini Mungu?

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Maudhui Yanayohusiana

269 Nitampenda Mungu Milele

1 Ee Mungu! Maneno Yako yananiita nirudi Kwako. Nakubali kufundishwa katika ufalme Wako mchana na usiku. Mara nyingi sana nilikuwa dhaifu...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki