Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

139 Mama, Nimekua Sasa

1 Mama aliieneza injili, aliwindwa na CCP, tumekuwa mbali mbali tangu wakati huo. Mama anakimbia, kuna mengi sana moyoni mwangu nitakayo kumwambia. Mama, lazima una wasiwasi kuwa siwezi kujitunza, kwamba siwezi kuishi pekee yangu, kwamba naweza tu kukutegemea kwa kila kitu. Moyoni mwako najua mimi ni mtoto mchanga, mtundu na asiye mtiifu, afanyaye atakalo. Nilikuwa mchanga sana, mjeuri, na mwenye majivuno, sikuelewa imani. Sasa mateso yangu yamenirudisha kwa Mungu, nasoma maneno Yake kila siku.

2 Mamangu mpendwa, nataka sana kushiriki nawe uzoefu wangu katika imani. Tangu uende, mara nyingi mimi huomba na kumtegemea Mungu. Nauona upendo wa Mungu kupitia ndugu kanisani ambao hunitunza. Wanasoma maneno ya Mungu nami, wanashiriki kuhusu ukweli, nimeelewa mengi. Kila siku, najitahidi kujitunza, silii kuhusu makosa madogo. Usiwe na wasiwasi kunihusu, Mama. Nimejifunza kuishi pekee yangu, nimejifunza kuyatenda na kuyapitia maneno ya Mungu, nami natekeleza wajibu wangu kanisani. Sasa najua kuutafuta ukweli katika ugumu, na kuanza kuyatenda maneno ya Mungu.

3 Mamangu mpendwa, nimebadilika kidogo kwa miaka hii, yote ni kwa neema ya Mungu na msaada wa ndugu. Sasa najua jinsi ya kutekeleza wajibu wangu na kushirikiana na wengine. Nimebadilisha sana tabia yangu ya uzembe, nimeweza kupitia shida na kufaulu nikiwa pamoja na wengine. Ndugu wanapoyataja makosa yangu, sitakwepa kujadili tena. Najua moyoni mwangu ni kwa ajili ya faida yangu mwenyewe. Upendo wa Mungu nilioufurahia kanisani umekuwa mkubwa sana, huu ni uzoefu wangu wa kina. Maneno ya Mungu ni ukweli, njia na uzima, kweli yanaweza kuwabadilisha watu. Mamangu mpendwa, nimekua, tafadhali usiwe na shaka. Nitaendelea kuufuatilia ukweli na kutimiza wajibu wangu ili nilipize mapenzi ya Mungu.

Iliyotangulia:Nimeamua Kujitolea Kabisa Kwa Mungu

Inayofuata:Natazamia Tuwe Pamoja Hivi Karibuni

Maudhui Yanayohusiana

 • Upendo Safi Bila Dosari

  I Upendo ni hisia safi, safi bila dosari. Tumia moyo, tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza. Upendo hauna masharti, vizuizi au kujitenga. Tumia moyo, …

 • Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu

  I Kama washiriki wa jamii ya wanadamu, kama wafuasi wa Kristo wa dhati, ni wajibu wetu, jukumu letu kutoa akili zetu na miili yetu kwa kutimiza agizo …

 • Nimeuona Upendo wa Mungu

  1 Mwenyezi Mungu, ni Wewe unayenipenda. Katika ulimwengu mchafu Umenichagua mimi! Hivyo nimekuja mbele Yako, naam, nimekuja mbele Yako, nikiishi maish…

 • Nitampenda Mungu Milele

  1 Ee Mungu! Maneno Yako yananiita nirudi Kwako. Nakubali kufundishwa katika ufalme Wako mchana na usiku. Mara nyingi sana nilikuwa dhaifu na hasi, m…