Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

484 Maisha Katika Ufalme ni Mazuri Zaidi

1 Katika wakati uliopita, kwa miaka watu walimwamini Mungu asiye yakini, kwa miaka kamwe hawakuwekwa huru mioyoni mwao, hawakuwa na uwezo wa raha kuu, na ingawa walimwamini Mungu, hakukuwa na mpango katika maisha yao. Ilikuwa kana kwamba hakukuwa na tofauti na kabla ya wao kuwa waumini, maisha yao bado yalihisi kuwa matupu na yasiyo na matumaini, ilikuwa kana kwamba imani yao wakati huo ilikuwa aina ya mtego, na kana kwamba ingekuwa heri wasingeamini. Kwa sababu walimtazama Mungu Mwenyewe wa vitendo wa leo, ni kana kwamba mbingu na dunia zimefanywa upya; maisha yao yameng’aa, hawako bila matumaini tena, na kwa sababu ya ujaji wa Mungu wa vitendo, wanahisi kuwa imara katika mioyo yao na watulivu ndani ya roho zao. Hawafuatilii upepo tena na kushikia yasiyo dhahiri katika yote wafanyayo, ufuatiliaji wao haukosi lengo maalum tena na hawatupi mikono huku na kule ovyo ovyo tena.

2 Maisha ya leo ni mazuri hata zaidi, watu wameingia katika ufalme bila kutarajia na kuwa mmoja wa watu wa Mungu, na baadaye. Katika mioyo yao, watu wanavyofikiria zaidi, ndivyo utamu unavyokuwa mkuu zaidi, wanavyofikiria zaidi, ndivyo wanavyokuwa na furaha zaidi, na ndivyo wanavyotiwa moyo zaidi kumpenda Mungu. Hivyo, bila wao kutambua, urafiki kati ya Mungu na mwanadamu unaimarishwa. Watu wanampenda Mungu zaidi, na kumjua Mungu zaidi, na kazi ya Mungu ndani ya mwanadamu inazidi kuwa rahisi, na haiwalazimishi au kuwashurutisha watu tena, lakini inafuata hali ya asili ya maisha, na mwanadamu hutekeleza kazi yake maalum—hapo tu ndipo wataweza kumjua Mungu polepole. Hii tu ndiyo hekima ya Mungu—haijumuishi juhudi hata kidogo, na inazalishwa kama ifaavyo asili ya mwanadamu.

Umetoholewa kutoka katika “Sura ya 12” ya Ufafanuzi wa Mafumbo ya Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia:Kipaumbele cha Juu cha Imani Katika Mungu

Inayofuata:Mungu Anawaongoza Watu Kwenye Njia Sahihi ya Maisha

Maudhui Yanayohusiana

 • Umuhumi wa Maombi

  1 Maombi ni njia moja ya mwanadamu kishirikiana na Mungu, kuita Roho Wake na kuguswa na Mungu. Kadiri unavyoomba zaidi, ndivyo utakavyoguswa zaidi, ku…

 • Upendo Safi Bila Dosari

  1 Upendo ni hisia safi sana, safi bila dosari. Tumia moyo wako, tumia moyo wako kupenda na kuhisi na kutunza. Upendo hauweki masharti au vizuizi au ba…

 • Upendo wa Kweli

  1 Namrudia Mungu na kuuona uso Wake upendezao, nikiwa huru kutokana na udhibiti wa kaida za dini. Neno Lake linanijaza na raha na furaha kutoka kwa ne…

 • Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu

  Usimamizi wa Mungu ni ili kuwapata binadamu wanaomwabudu na kumtii Yeye. Ingawa wamepotoshwa na Shetani, hawamwiti baba tena, hawamwiti baba tena. 1 …