Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

12. Hatimaye Nimemwona Mungu

Nilikuja katika uwepo Wako siku hiyo, moyo wangu ukiwa umejaa tamaa ya kina.

Macho yangu yalipojawa na machozi, mkono Wako ulinipapasa.

Majonzi na huzuni ulimwagika kutoka moyoni mwangu.

Maisha yangu ya awali yakipita mbele ya macho yangu; majonzi na uchungu vikigongana kwa kutanafusi.

Mungu, nakupa Wewe upendo wangu.

Nisingekuona kamwe, kesho ingeleta nini?

Jinsi ulivyoniokoa na kunilea, kupitia mateso marefu.

Wewe ndiye ni nayekimbilia, Wewe ndiye mahali ninapoweza kujificha.

Pamoja na Wewe kamwe siko peke yangu, Uko hapa kando yangu.

Pamoja na Wewe kamwe siko peke yangu, Uko hapa kando yangu.

Nilikuja katika uwepo Wako siku hiyo, hatimaye nikaona tabasamu Yako ya upendo.

Sasa moyo wangu wenye majeraha unafurahia maneno Yako ya ukarimu.

Utamu wa furaha unazunguka moyo wangu. Sasa hatimaye nimeisikia sauti Yako.

Sasa siko peke yangu tena, siko peke yangu. Mungu, asante kwa kuniokoa.

Moyo wangu unaonyesha hisia kwa msaada Wako na kile ambacho Umenipa.

Nataka kua haraka, nitimize kazi Zako ulizochagua.

Maisha Yangu yanaboreshwa na Wewe, nahisi joto la maneno Yako.

Milele nitakuwa na Wewe; moyo wangu ni Wako milele.

Nisingekuona kamwe, kesho ingeleta nini?

Jinsi ulivyoniokoa na kunilea, kupitia mateso marefu.

Wewe ndiye ni nayekimbilia, Wewe ndiye mahali ninapoweza kujificha.

Pamoja na Wewe kamwe siko peke yangu, Uko hapa kando yangu.

Pamoja na Wewe kamwe siko peke yangu, Uko hapa kando yangu.

Pamoja na Wewe kamwe siko peke yangu, Uko hapa kando yangu.

Iliyotangulia:Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri

Inayofuata:Maisha yangu ni Huru na Yamewachiliwa

Unaweza Pia Kupenda