Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

49. Nataka Kumwimbia Mungu

Nimepata mengi kutoka kwa kazi ya Mungu ya ukweli.

Kutoka kwa maneno Yake, upotovu wa mwanadamu nimeona.

Kutoka kwa ukweli Wake, tabia ya Mungu, maana ya maisha nimejua.

Hukumu ya Mungu inafichua uasi wa mwanadamu, upotovu wa kishetani unaonekana.

Majaribu hufichua ukosefu wangu wa ukweli, nikiamguka mbele ya Mungu natubu.

Nataka kumwimbia Mungu, kuimba maneno yaliyo moyoni mwangu.

Kutoka kwa ulimwengu Amenichagua, Akaniokoa kupitia kwa kazi Yake.

Nataka kumwimbia Mungu.

Shukrani kwa Mungu kwa kuwa tuna fursa ya kuhukumiwa na kutakaswa.

Wokovu Wake, mkubwa na wa kweli; upendo Wake ni mkubwa sana kulipiza.

Mwili wa Mungu, mnyenyekevu na uliofichika, unapitia uchungu wote ili kutuletea sisi ukweli.

Watu wa  Mungu wanafurahia maneno ya Mungu, wanahudhuria karamu kubwa.

Nataka kumwimbia Mungu, kuimba maneno yaliyo moyoni mwangu.

Kutoka kwa ulimwengu Amenichagua, Akaniokoa kupitia kwa kazi Yake.

Nataka kumwimbia Mungu, kuimba maneno yaliyo moyoni mwangu.

Kutoka kwa ulimwengu Amenichagua, Akaniokoa kupitia kwa kazi Yake.

Nataka kumwimbia Mungu.

Maneno ya Mungu ni utajiri wa maisha, yananiruhusu niishi kama mwanadamu.

Nimeamua kutimiza wajibu wangu, kutafuta ukweli, kushuhudia na kumsifu Mungu.

Kutafuta ukweli, kumshuhudia na kumsifu Mungu.

Nataka kumwimbia Mungu, kuimba maneno yaliyo moyoni mwangu.

Kutoka kwa ulimwengu Amenichagua, Akaniokoa kupitia kwa kazi Yake.

Nataka kumwimbia Mungu, kuimba maneno yaliyo moyoni mwangu.

Kutoka kwa ulimwengu Amenichagua, Akaniokoa kupitia kwa kazi Yake.

Nataka kumwimbia Mungu.

Nataka kumwimbia Mungu, kuimba maneno yaliyo moyoni mwangu.

Kutoka kwa ulimwengu Amenichagua, Akaniokoa kupitia kwa kazi Yake.

Nataka kumwimbia Mungu, kuimba maneno yaliyo moyoni mwangu.

Kutoka kwa ulimwengu Amenichagua, Akaniokoa kupitia kwa kazi Yake.

Nataka kumwimbia Mungu.

Iliyotangulia:Mungu Ana Nia Nzuri Zaidi

Inayofuata:Moyo Wangu Hautatamani Chochote Zaidi

Maudhui Yanayohusiana