Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

244 Jambo la Kusikitisha

1 Kinachoweza kuonekana katika watu walio China bara si kingine ila tabia potovu ya kishetani, kwa hiyo katika kazi ya Mungu ndani ya watu hawa, ni takriban vigumu kupata chochote cha maana ndani yao; kazi yote inafanywa na Roho Mtakatifu, na ni kwamba tu Roho Mtakatifu huwasisimua watu zaidi, na Hufanya kazi ndani yao.

2 Ni takriban vigumu kuwatumia watu hao, yaani, kazi ya kusisimuliwa na Roho Mtakatifu pamoja na ushirikiano wa watu haiwezi kufanyika. Roho Mtakatifu hufanya tu kazi kwa bidii kuwasisimua watu, lakini hata hivyo watu ni wazito tu na wasiohisi na hawana habari ni nini ambacho Mungu anafanya. Kazi ya Mungu katika China bara inalinganishwa na kazi Yake ya kuumba ulimwengu. Yeye huwafanya watu wote wazaliwe mara ya pili na hubadilisha kila kitu kuwahusu kwa sababu hakuna chochote cha maana ndani ya watu hawa. Ni la kuvunja moyo sana.

Umetoholewa kutoka katika “Njia … (6)” katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia:Watu Hawalengi Maneno ya Mungu kwa Mioyo Yao

Inayofuata:Hakuna Ayejali Kumwelewa Mungu kwa Utendaji

Maudhui Yanayohusiana