
Uchaguzi wa Maneno ya Mwenyezi Mungu
Uteuzi kutoka katika maneno ya Mwenyezi Mungu kuhusu kazi Yake umejumuishwa katika kitabu hiki, na unashuhudia kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu katika Enzi ya Ufalme. Unawafanya wale wote wanaotamani sana kuonekana kwa Mungu watambue kwamba Bwana Yesu amesharudi kitambo juu ya mawingu meupe, na kwamba Yeye ndiye Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho—Mwanakondoo aliyetabiriwa katika Kitabu cha Ufunuo ambaye Amefungua kitabu na kuivunja ile mihuri saba.
Matamshi ya Kristo
-
Sehemu ya Kwanza: Chaguzi za Maneno Bora Zaidi ya Mungu juu ya Injili ya Ufalme
1Maana ya Kumwamini Mungu kwa Kweli
2Kuonekana kwa Mungu Kumeleta Enzi Mpya
3Kutazama Kuonekana kwa Mungu katika Hukumu na Kuadibu Kwake
4Mungu Anaongoza Majaliwa ya Wanadamu Wote
5Mungu Ndiye Chanzo cha Uhai wa Mwanadamu
6Mwanadamu Anaweza tu Kuokolewa Katikati ya Usimamizi wa Mungu
7Ngurumo Saba Zatoa Sauti—Zikitabiri Kuwa Injili ya Ufalme Itaenea Kote Ulimwenguni
8Mwokozi Amerudi Tayari Juu ya “Wingu Jeupe”
10Kufikia Utakapouona Mwili wa Kiroho wa Yesu, Mungu Atakuwa Ametengeneza Upya Mbingu na Dunia
11Wale Ambao Hawalingani na Kristo Hakika Ni Wapinzani wa Mungu
12Wengi Wanaitwa, Lakini Wachache Wanachaguliwa
13Unapaswa Kutafuta Njia ya Uwiano na Kristo
14Je, Wewe Ni Muumini wa Kweli wa Mungu?
15Kristo Hufanya Kazi ya Hukumu kwa Ukweli
16Je, Ulikuwa Unajua? Mungu Amefanya Jambo Kubwa Miongoni Mwa Wanadamu
17Ni Kristo wa Siku za Mwisho Pekee Ndiye Anayeweza Kumpa Mwanadamu Njia ya Uzima wa Milele
18Tayarisha Matendo Mema ya Kutosha kwa ajili ya Hatima Yako
20Je, Kazi ya Mungu Ni Rahisi Kama Vile Mwanadamu Anavyodhania?
21Ni Wale tu Wanaoijua Kazi ya Mungu Leo Ndio Wanaoweza Kumhudumia Mungu
22Jua Kazi Mpya Zaidi ya Mungu na Ufuate Nyayo Zake
24Maelezo ya Kweli ya Kazi Katika Enzi ya Ukombozi
25Enzi ya Ufalme Ni Enzi ya Neno
26Yote Yanafanikishwa Kupitia kwa Neno la Mungu
28Kujua Hatua Tatu za Kazi ya Mungu Ndiyo Njia ya Kumjua Mungu
29Ni Wale tu Wanaomjua Mungu na Kazi Yake Ndio Wanaoweza Kumridhisha Mungu
31Kuwa na Tabia Isiyobadilika Ni Kuwa katika Uadui na Mungu
32Watu Wote Wasiomjua Mungu Ni Watu Wanaompinga Mungu
33Mwanadamu Aliyepotoka Anahitaji Zaidi Wokovu wa Mungu Mwenye Mwili
34Kiini cha Mwili Ulio na Mungu
35Kupata Mwili Mara Mbili Kunakamilisha Umuhimu wa Kupata Mwili
36Tofauti Muhimu Kati ya Mungu Mwenye Mwili na Watu Wanaotumiwa na Mungu
37Tofauti Kati ya Huduma ya Mungu Mwenye Mwili na Wajibu wa Mwanadamu
38Kazi ya Mungu na Kazi ya Mwanadamu
-
Sehemu ya Pili: Mafungu Yaliyochaguliwa ya Maneno Bora ya Mungu juu ya Injili ya Ufalme
I. Ni Kipi Kikubwa Zaidi: Mungu, au Biblia? Ni nini Uhusiano Kati ya Mungu na Biblia?
II. Juu ya Ukweli wa Kupata Mwili
III. Juu ya Ukweli wa Jina la Mungu
IV. Juu ya Ukweli wa Wokovu Katika Enzi ya Neema na Wokovu Katika Enzi ya Ufalme
V. Je, Kazi ya Bwana Yesu ya Ukombozi Kweli ni Kazi ya Kuhitimisha Enzi?
VI. Uhusiano Kati ya Kazi ya Enzi ya Neema na Ile ya Enzi ya Ufalme
VII. Kristo wa Siku za Mwisho ni Bwana wa Hukumu na Mwanakondoo Anayefungua Kitabu
VIII. Kuna Mungu Mmoja Tu: Utatu Haupo
IX. Tofauti Kati ya Kazi ya Mungu na Ile ya Mwanadamu
X. Jinsi ya Kutambua Wachungaji wa Uongo, Wapinga Kristo, na Makristo wa Uongo