Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

Kwa Imani ya Kesho

Mwenyezi Mungu mwenye haki! Matendo Yako ni ya ajabu.

Maneno Yako yanaonyesha uweza Wako, yakitushinda kabisa.

Mwenyezi Mungu mwenye haki! Mbele Yako twaja, kuona jinsi tulivyo wadeni.

Hatukufuata mapenzi Yako kamwe; mbele Yako tumejawa na aibu.

Lakini unatuonyesha kusudi la maisha.

Ni bahati iliyoje kuweza kuja mbele Yako.

Huu kweli ni upendo wa Mungu unaoonyeshwa.

Neno Lako limetuokoa; limenipa uzima.

Itakuwa msingi wangu na nitakushuhudia maisha yangu yote.

Neno Lako limetuokoa; limenipa uzima.

Itakuwa msingi wangu na nitakushuhudia maisha yangu yote.

Mwenyezi Mungu mwenye haki! Tutakutii Wewe.

Yote Ufanyayo leo ni kututayarisha kwa majaribu ya kesho.

Kwa kuwa ni ombi Lako la mwisho, sitakawia ama kutotii.

Vyovyote Utakavyonihukumu, nitatii.

Nitatafuta ukweli, nijibadilishe, ili kuufurahisha moyo Wako.

Neno Lako limetuokoa; limenipa uzima.

Itakuwa msingi wangu na nitakushuhudia maisha yangu yote.

Neno Lako limetuokoa; limenipa uzima.

Itakuwa msingi wangu na nitakushuhudia maisha yangu yote.

Maneno mengi tunataka kusema, sifa nyingi tunataka kuimba.

Mioyo iliyoganda imeyeyushwa na upendo Wako.

Ni Wewe Uliyetuletea matumaimani ya kesho.

Mwenyezi Mungu mwenye haki! Tutakufuata Wewe.

Kupata ukweli na kuishi kama wanadamu wa kweli, tunasujudu Kwako kabisa.

Sitayumbayumba lakini nitakupenda zaidi, nitimize wajibu wangu kwa uaminifu.

Mungu, niongoze na uutie nguvu moyo wangu, nifanye shahidi Wako ili kuabisha Shetani.

Neno Lako limetuokoa; limenipa uzima.

Itakuwa msingi wangu na nitakushuhudia maisha yangu yote.

Neno Lako limetuokoa; limenipa uzima.

Itakuwa msingi wangu na nitakushuhudia maisha yangu yote.

Neno Lako limetuokoa; limenipa uzima.

Neno Lako limetuokoa; limenipa uzima.

Iliyotangulia:Ee Mungu, Unajua Nakukosa Wewe

Inayofuata:Kutembea kwenye Njia ya Kumpenda Mungu

Maudhui Yanayohusiana