89 Kwa Ajili ya Upendo

Kwa ajili ya upendo, Mungu alimuumba mwanadamu na akamtunza,

Akatoa sheria kuongoza maisha ya mwanadamu duniani,

Akawa mwili, Akatoa maisha Yake kumkomboa mwanadamu.

Wokovu msalabani ulienea ulimwenguni kote.

Kwa ajili ya upendo, Mungu hujitumia kwa ajili ya mwanadamu,

bila malalamiko au majuto yoyote,

Akinyunyiza upendo Wake wote juu ya dunia,

Akifanya kazi kuongoza na kuokoa wapotovu.

Ee Mungu! Kila kionyeshwacho katika kazi Yako,

kila kionyeshwacho katika maneno Yako ni upendo.

upendo Wako sio neema na rehema tu,

lakini zaidi, kuadibu na hukumu.

Ee Mungu! Hukumu na kuadibu Kwako

ni upendo wa kweli, wokovu bora.

Tunatukuza upendo Wako mtakatifu na wenye haki,

na Unastahili sifa zetu za milele.

Kwa ajili ya upendo, Mungu Alikuja katika mwili, katika siku za mwisho

kwa nchi ya joka kubwa jekundu.

Kwa ajili ya upendo, Mungu Astahimili kukataliwa, kashfa,

Apitia shida nyingi, mateso.

Kwa ajili ya upendo, Mungu anaishi kwa unyenyekevu na mwanadamu mpotovu,

Hunena ukweli, kuleta njia ya uzima wa milele,

Huhukumu asili ya kishetani ya mwanadamu kwa maneno,

Hujaribu, kusafisha, kupogoa ili kuwatakasa wapotovu.

Ee Mungu! Kila kionyeshwacho katika kazi Yako,

kila kionyeshwacho katika maneno Yako ni upendo.

upendo Wako sio neema na rehema tu,

lakini zaidi, kuadibu na hukumu.

Ee Mungu! Hukumu na kuadibu Kwako

ni upendo wa kweli, wokovu bora.

Tunatukuza upendo Wako mtakatifu na wenye haki,

na Unastahili sifa zetu za milele.

Kwa ajili ya upendo, Mungu huwaleta watu, vitu katika huduma

ili tupate ukweli na uzima.

Kwa ajili ya upendo, Mungu anatuhukumu ili tuweze

kutupa ujanja wa Shetani, tupate wokovu.

Ee Mungu! Kila kionyeshwacho katika kazi Yako,

kila kionyeshwacho katika maneno Yako ni upendo.

upendo Wako sio neema na rehema tu,

lakini zaidi, kuadibu na hukumu.

Ee Mungu! Hukumu na kuadibu Kwako

ni upendo wa kweli, wokovu bora.

Tunatukuza upendo Wako mtakatifu na wenye haki,

na Unastahili sifa zetu za milele.

Iliyotangulia: 88 Tuna Bahati Kukutana na Kuja kwa Mungu

Inayofuata: 90 Upendo wa Mungu Unauzingira Moyo Wangu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki