Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

137 Majira ya Kupukutika wa Majani Mwaka Huo

1 Majira ya kupukutika kwa majani ya mwaka huo, siku hiyo ya kuogofya mno, wakati huo ndipo mama na babangu walichukuliwa. Mvua nyepesi ilikuwa ikinyesha polisi wa CCP walipoingia ghafla nyumbani kwangu. Nilipoona sura zao mbaya na za kutisha, niliendelea kumwita Mungu moyoni mwangu kwa hofu. Hebu Mungu atupe imani. Sikutaka mama na babangu wakamatwe na kuteswa. Polisi waliwashika mama na babangu na niliwaona wakichukuliwa kwa nguvu. Machozi yangu yalichanganyika na mvua na moyo wangu haungekoma kulia: Kwa nini waivunje familia yangu yenye furaha? Kwa nini wachukue furaha yangu? Kwa huzuni, nilipaza sauti: Pepo! Msiwachukue mama na babangu!

2 Nilisimama pekee yangu karibu na dirisha, nisizione tena sura za wazazi wangu zenye tabasamu kamwe. Sijui ni mara ngapi nimesimama nikiitazama barabara ya kuingia kijijini, nikitumai kuona maumbo yao yakija. Sijui babangu amepitia mateso kiasi gani gerezani. Mamangu bado yuko salama? Natamani kuwaona nyote hivi karibuni. Ah, mnaweza kurudi nyumbani lini? Machozi ya kutamani yalitia ukungu macho yangu, kuna mengi niliyotaka kuwaambia: Mara nyingi mimi huomba na kusoma neno la Mungu na usiku wa manane siko mwoga wala mpweke tena. Sasa kanisa ni nyumba yangu, nashiriki maneno ya Mungu na ndugu zangu. Napitia joto la upendo wa Mungu. Mama, baba—msijali kunihusu.

3 Nyota zinang’aa katika anga la usiku wa Tamasha la Kupukutika kwa Majani, nami nahesabu miaka 7 tangu Mama na Baba waniache. Nashukuru neno la Mungu kwa kuniongoza mpaka leo. Sasa ninapouelewa ukweli, nina utambuzi. Naona kwamba CCP iliyoko mamlakani ni Shetani mamlakani, na hiki ndicho chanzo cha giza lote ulimwenguni. Nachukia CCP ya kishetani sana, nimeamua kumfuata Mungu hadi mwisho! Japo nilipoteza upendo wa wazazi wangu, nitamtegemea Mungu na kuishi imara. Siko peke yangu na siko mpweke, kwani nina neno la Mungu na Mungu yu pamoja nami. Mungu amenilinda maisha yangu yote, neno Lake linaniongoza kukua na kukomaa. Nimefurahia mwingi wa upendo wa Mungu, natamani kutimiza wajibu wangu wa kulipiza upendo Wake.

Iliyotangulia:Kufuatilia Ukweli Tu Ndiko Kunaweza Kuleta Uzima

Inayofuata:Nimeamua Kujitolea Kabisa Kwa Mungu

Maudhui Yanayohusiana

 • Furaha Katika Nchi ya Kanaani

  1 Kurudi nyumbani kwa Mungu, nahisi furaha na msisimko. Nina bahati kuona hatimaye Mwenyezi Mungu wa vitendo. Maneno Yake huwaongoza watu kuingia kati…

 • Upendo wa Kweli

  1 Namrudia Mungu na kuuona uso Wake upendezao, nikiwa huru kutokana na udhibiti wa kaida za dini. Neno Lake linanijaza na raha na furaha kutoka kwa ne…

 • Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa

  1 Kwa kuwa Mungu alimwokoa mwanadamu, Atamwongoza; kwa kuwa Anamwokoa mwanadamu, Atamwokoa na kumpata kabisa; kwa kuwa anamwongoza mwanadamu, Atamfiki…

 • Nitampenda Mungu Milele

  1 Ee Mungu! Maneno Yako yananiita nirudi Kwako. Nakubali kufundishwa katika ufalme Wako mchana na usiku. Mara nyingi sana nilikuwa dhaifu na hasi, m…