Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

515 Mungu Atawapa Nuru na Kuwaangazia Kwa Wale Wanaotafuta Ukweli

1

Kama kwa kawaida huachi chochote kiteleze katika mambo makubwa au madogo,

kama moyo wako na mawazo yako yametakaswa,

na kama wewe ni mtulivu katika roho yako,

basi wakati unapokutana na suala fulani maneno Yangu

mara moja yatakuwa na msukumo ndani yako,

kama kioo chenye kung'aa kwako kujiangalia mwenyewe kwacho,

na wewe ndipo utakapokuwa na njia ya kwenda mbele.

Hii inaitwa kuwa na dawa sahihi kwa hali sahihi! Na hali yoyote kwa hakika itatibiwa.

Mungu ni mwenyezi hivi.

2

Kwa hakika Mimi nitawaangazia na kuwapa nuru

wale wote wenye njaa na kiu ya haki na ambao hutafuta kwa uaminifu. Mimi nitakuonyesha siri zote za ulimwengu wa kiroho

na kuwaonyesha njia ya kwenda mbele,

Niwafanye mtupilie mbali tabia zenu mbovu za zamani haraka iwezekanavyo

na mfikie ukomavu wa maisha ili kwamba muweze kuwa na manufaa Kwangu.

kama kioo chenye kung'aa kwako kujiangalia mwenyewe kwacho,

na wewe ndipo utakapokuwa na njia ya kwenda mbele.

Hii inaitwa kuwa na dawa sahihi kwa hali sahihi! Na hali yoyote kwa hakika itatibiwa.

Mungu ni mwenyezi hivi.

3

Kwamba kazi ya injili hivi karibuni itaendelea bila kizuizi.

Ni hapo tu mapenzi Yangu yatakaporidhishwa, ni hapo tu ndipo mpango wa usimamizi wa Mungu wa miaka elfu sita utatimizwa haraka iwezekanavyo.

Mungu ataupata ufalme na atakuja chini duniani, na kwa pamoja tutaingia katika utukufu!

kama kioo chenye kung'aa kwako kujiangalia mwenyewe kwacho,

na wewe ndipo utakapokuwa na njia ya kwenda mbele.

Hii inaitwa kuwa na dawa sahihi kwa hali sahihi! Na hali yoyote kwa hakika itatibiwa.

Mungu ni mwenyezi hivi.

Umetoholewa kutoka katika “Sura ya 8” ya Matamko ya Kristo Mwanzoni katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia:Wayaelewa Mapenzi ya Mungu Kweli?

Inayofuata:Fanya Jitihada Katika Kutenda Kwako Neno la Mungu

Maudhui Yanayohusiana