Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

495 Kila Mtu Anamshikilia Mungu Ndani ya Roho Yake

1 Watu wamepotoshwa na Shetani siku zote kwa miaka mingi, na walipoteza utambuzi wa masuala ya kiroho zamani sana. Kwa sababu hii sentensi moja tu ya maneno ya Mungu yanawapendeza watu. Kwa sababu ya umbali ulioko kati ya Roho na pepo, wale wote ambao wanamwamini Mungu wana hali ya kumtamani, na wote wako radhi kuwa karibu zaidi na kumweleza mambo yanayowahangaisha, lakini hawathubutu kuwasiliana na Yeye, na wao hubaki tu wakiwa na hofu. Hii ndiyo nguvu ya mvuto wa Roho. Kwa kuwa Mungu ni Mungu wa kupendwa na watu, na ndani Yake kuna vitu vingi sana vya wao kupenda, watu wote wanampenda na wote wanataka kuwa na imani Kwake. Kwa kweli, kila mtu ana moyo wa kumpenda Mungu, ni vurugu ya Shetani tu ndiyo imewafanya watu wasiosikia, wajinga, wa kusikitisha wasiweze kumjua Mungu.

2 Hii ndiyo maana Mungu alieleza maono yake kuhusu hisia halisi za wanadamu kumwelekea Mungu: “Mwanadamu hajawahi kunichukia katika undani wa moyo wake kabisa; badala yake, yeye huambatana na Mimi katika kina cha roho yake. … Ukweli Wangu humfanya mwanadamu asijue la kusema, aduwae na kushtuka, na bado yeye yuko tayari kukubali hayo yote.” Hii ni hali halisi iliyo ndani kabisa mwa mioyo ya wale wanaomwamini Mungu. Watu wanapomjua Mungu kweli kwa kawaida watakuwa na mtazamo tofauti kumwelekea, na wataweza kutamka sifa kutoka ndani ya mioyo yao kwa sababu ya wajibu wa roho. Mungu yuko ndani kabisa mwa roho za watu wote, lakini kwa sababu ya upotovu wa Shetani wamedhani Mungu ni Shetani. Leo Mungu Anafanya kazi kutokana na hii hali hasa, na hili limekuwa lengo la vita vya ulimwengu wa kiroho kuanzia mwanzo hadi mwisho.

Umetoholewa kutoka katika “Sura ya 15” ya Ufafanuzi wa Mafumbo ya Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia:Tii Kazi ya Roho Mtakatifu na Utakuwa Kwenye Njia Kuelekea Kukamilishwa

Inayofuata:Tupilia Mbali Ushawishi wa Giza ili Upatwe na Mungu

Maudhui Yanayohusiana