Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

67 Wito wa Mpendwa Wetu

Nani aendeleaye kutamka sauti Yake, Akizungumza na binadamu?

Ni nani anayechunga kila wakati, akikaa kando ya mwanadamu?

Ni mpendwa wetu, Mwenyezi Mungu!

Amesikia kilio cha udhaifu kutoka kwa vina vya mioyo yetu.

Hawezi kuvumilia kuona mapambano yetu chini ya Shetani.

Amekuja kuonyesha ukweli katika siku za mwisho kumwokoa mwanadamu.

Anatuita nyumbani, anatamani mabadiliko ya mioyo yetu.

Analeta maji yaishiyo ya uzima, maneno Yake yanailisha mioyo yetu.

Anatuliza majeraha yetu ya ndani, Atuongoza kwa njia sahihi.

Tunaanguka mbele Zake na kuifungua mioyo yetu.

Machozi yetu ya shukrani yanamwagika, yakiifunika nguo zetu.

Tunalia kwa shukrani kwa Mwenyezi Mungu.

Ewe, mpendwa wetu! Mpendwa wetu!

Tunakufikiria usiku na mchana.

Ewe, mpendwa wetu! Mpendwa wetu!

Asante kwa wokovu Wako,

hivyo tunaweza kuishi mbele Yako kwa furaha.

Mpendwa wetu!

Nani ameonyesha maneno ya uzima ili tufurahie?

Ni nani ametuletea hazina za Kanaani?

Ni mpendwa wetu, Mwenyezi Mungu.

Ametuleta katika nchi ya maziwa na asali.

Maisha yetu hukua tunaposoma, tunaposoma maneno ya Mungu kila siku.

Tunaabudu kwa moyo safi, tunaishi mbele Zake kwa furaha.

Sikiliza maneno ya Mungu, mapole na makarimu sana.

Tunahisi sana kupendeza Kwake, hatuwezi kuvumilia kuwa mbali naye.

Maneno ya Mungu ya hukumu na ufunuo,

kama upanga, yafunua asili yetu ya kishetani.

Yaweza kuwa machungu, lakini upotovu unatakaswa.

Tunakuwa wapya kupitia hukumu na kuadibu.

Ewe, mpendwa wetu! Mpendwa wetu!

Tunapenda haki Yako.

Ewe, mpendwa wetu! Mpendwa wetu!

Mioyo yetu imejaa uchaji.

na tunakupenda sana.

Ewe, mpendwa wetu! Mpendwa wetu!

Upendo wako ni mzuri

Ewe, mpendwa wetu! Mpendwa wetu!

Kiini Chako ni kitakatifu na kamilifu.

Tukupende milele.

Mpendwa wetu!

Iliyotangulia:Wakati

Inayofuata:Mwenyezi Mungu, Anayependeza Zaidi

Maudhui Yanayohusiana

 • Upendo Safi Bila Dosari

  1 Upendo ni hisia safi sana, safi bila dosari. Tumia moyo wako, tumia moyo wako kupenda na kuhisi na kutunza. Upendo hauweki masharti au vizuizi au ba…

 • Wewe Tu Unaweza Kuniokoa Mimi

  1 Mnyenyekevu na Uliyejificha, Wewe unaambatana na watu katika matatizo yao, Ukiwapa njia ya uzima wa milele. Unawapenda binadamu kama mwili Wako mwen…

 • Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu

  I Kama washiriki wa jamii ya wanadamu, kama wafuasi wa Kristo wa dhati, ni wajibu wetu, jukumu letu kutoa akili zetu na miili yetu kwa kutimiza agizo …

 • Umuhumi wa Maombi

  1 Maombi ni njia moja ya mwanadamu kishirikiana na Mungu, kuita Roho Wake na kuguswa na Mungu. Kadiri unavyoomba zaidi, ndivyo utakavyoguswa zaidi, ku…