93. Watu Wote Wanamsfu Mwenyezi Mungu
I
Mwenyezi Mungu, Yeye ni Mungu mwenye mwili.
Anatoa ukweli, kuhukumu na kutakasa vyote.
Sasa Mungu anashinda juu ya mamlaka ya Shetani.
Anashinda na kupata kundi la watu.
Msifu Mungu mwenye hekima na mwenye uweza.
Amemshinda Shetani.
Tabia yenye haki ya Mungu imefichuliwa.
Wote wanakuja kumsifu Mwenyezi Mungu,
Mungu mzuri, wa utendaji.
Wewe ni mnyenyekevu sana na umejificha.
Tunakusifu Wewe Mwenyezi Mungu!
II
Kila taifa linamsifu Mwenyezi Mungu.
Watu wanaimba na kucheza, wanamsifu Mwenyezi Mungu.
Mawimbi ya baharini yanamsifu Mungu yakitingika kwa uweza.
Ndege angani wanamsifu Mungu wakiruka juu sana.
Ulimwengu na dunia vinamtukuza Mungu.
Viumbe vyote vya Mungu vinamsifu Mwenyezi Mungu.
Wote wanakuja kumsifu Mwenyezi Mungu,
Mungu mzuri, wa utendaji.
Wewe ni mnyenyekevu sana na umejificha.
Wewe ni mnyenyekevu sana na umejificha!
Wote wanakuja kumsifu Mwenyezi Mungu,
Mungu mzuri, wa utendaji.
Wewe ni mnyenyekevu sana na umejificha.
Wewe ni mnyenyekevu sana na umejificha!