200 Hukumu ya Mungu Imeniokoa

1

Bila wokovu wa Mungu kupitia hukumu, imani yangu bado ingekuwa isiyo dhahiri na wazi.

Kwa kushikilia fikira za kidini, moyo wangu ulikuwa katika ukungu ambao singeweza kuepuka.

Kutenda dhambi na kukiri siku baada ya siku, singeweza kutupa pingu za dhambi.

Kila wakati nilidanganya na kusema uongo lakini nilitamani kunyakuliwa hadi ufalme wa mbinguni.

Maneno ya hukumu ya Mungu ya siku za mwisho yameuamsha moyo wangu mgumu.

Niliona wazi kuwa bidii na kuteseka kwangu kwa ajili ya Mungu vilikuwa tu ili nipate baraka.

Nilikuwa nafanya biashara na Mungu, sikuwa na dhamiri wala mantiki.

Niliyejawa na aibu, nainama mbele ya Mungu na kukubali hukumu Yake kwa furaha.

2

Kwa kupitia hukumu mbele ya kiti cha Kristo, nimeonja upendo wa kweli wa Mungu.

Ingawa napitia uchungu na usafishaji mwingi, moyo wangu uko imara na una amani.

Hukumu na kuadibu vinaitakasa tabia yangu potovu,

nimepata ukweli na kupokea wokovu mkuu wa Mungu.

Dhiki na majaribu vinautuliza moyo wangu, ni vya faida kubwa kwa maisha yangu.

Nimeona kuwa hukumu ya Mungu ni baraka, ni upendo.

Tabia Yake ya haki inapendeza sana, Anastahili sifa za milele.

Nashukuru kuwa hukumu ya Mungu imeniruhusu niishi kwa kudhihirisha maisha yenye maana.


Hukumu na kuadibu kwa Mungu vimeniongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Kila siku nafurahia maneno ya Mungu na kuishi mbele za Mungu.

Nikiwa na ukweli kama maisha yangu, tabia yangu inabadilika.

Kristo ndiye ukweli, njia, na uzima, nitampenda na kumsifu Mungu milele.

Iliyotangulia: 199 Ninapoamka Katika Ukungu

Inayofuata: 201 Kuzinduka kwa Barakala

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Maudhui Yanayohusiana

47 Furaha Katika Nchi ya Kanaani

1 Kurudi nyumbani kwa Mungu, nahisi furaha na msisimko. Nina bahati kuona hatimaye Mwenyezi Mungu wa vitendo. Maneno Yake huwaongoza watu...

263 Njia Yote Pamoja na Wewe

1 Naelea na kuzurura katika dunia, nikihisi kupotea na mnyonge ndani. Ninapoamshwa na maneno Yako ya upole, naona kuonekana kwa mwanga....

269 Nitampenda Mungu Milele

1 Ee Mungu! Maneno Yako yananiita nirudi Kwako. Nakubali kufundishwa katika ufalme Wako mchana na usiku. Mara nyingi sana nilikuwa dhaifu...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki